Shinyanga: Askari Magereza auwawa na watu wasiojulikana

Watu wasiojulikana wamemuua Mkazi wa Mtaa wa Lwelyangula kata ya Kitangiri mkoani Shinyanga Malini Kilucha (37) ambaye ni Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Magereza kwa kumfunga mdomo na pua kwa kutumia nguo alizokuwa amezivaa karibu na nyumba aliyokuwa akiishi.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga SACP Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo na kusema wanamshikilia mtu mmoja kwa ajili ya tuhuma za mauaji hayo yalitokea Julai 29 Mwaka huu huku mwenyekiti wa mtaa huo Abel Ngusa wataka wananchi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama.

Visasi. Ama kuna siri kazitoa
 
R.i.p soldier Pole Kwa ndugu jamaa na marafiki neno kuuwawa linaumiza Sana!
 
Watu wasiojulikana wamemuua Mkazi wa Mtaa wa Lwelyangula kata ya Kitangiri mkoani Shinyanga Malini Kilucha (37) ambaye ni Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Magereza kwa kumfunga mdomo na pua kwa kutumia nguo alizokuwa amezivaa karibu na nyumba aliyokuwa akiishi.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga SACP Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo na kusema wanamshikilia mtu mmoja kwa ajili ya tuhuma za mauaji hayo yalitokea Julai 29 Mwaka huu huku mwenyekiti wa mtaa huo Abel Ngusa wataka wananchi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama.
Kazi nzuri sana wapongezwe, one down.
 
Wauaji watapatikana haraka sana lakini wale waliomuua kijana Enock kwa kumpiga na magongo wakimtuhumu kwa wizi huku wakijirekodi bado wanatafutwa!
 
hi
Watu wasiojulikana wamemuua Mkazi wa Mtaa wa Lwelyangula kata ya Kitangiri mkoani Shinyanga Malini Kilucha (37) ambaye ni Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Magereza kwa kumfunga mdomo na pua kwa kutumia nguo alizokuwa amezivaa karibu na nyumba aliyokuwa akiishi.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga SACP Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo na kusema wanamshikilia mtu mmoja kwa ajili ya tuhuma za mauaji hayo yalitokea Julai 29 Mwaka huu huku mwenyekiti wa mtaa huo Abel Ngusa wataka wananchi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama.
hii safi sana hii mwingine zaidi
 
Back
Top Bottom