Shinyanga: Askari Magereza auwawa na watu wasiojulikana

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Your browser is not able to display this video.
Watu wasiojulikana wamemuua Mkazi wa Mtaa wa Lwelyangula kata ya Kitangiri mkoani Shinyanga Malini Kilucha (37) ambaye ni Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Magereza kwa kumfunga mdomo na pua kwa kutumia nguo alizokuwa amezivaa karibu na nyumba aliyokuwa akiishi.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga SACP Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo na kusema wanamshikilia mtu mmoja kwa ajili ya tuhuma za mauaji hayo yalitokea Julai 29 Mwaka huu huku mwenyekiti wa mtaa huo Abel Ngusa wataka wananchi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama.
 
Mnawataka wananchi kutoa ushirikiano wakati huo huo hao wananchi mnawateka
 
Wakitumaliza wataanza kumalizana wao kwa wao, sio maneno yangu ni maneno ya lisu,
But very sad
 
Tusubiri maeleza Yao baada ya upelelezi


Kwishaaaaa
 
Wacha wauwawe tu kwani nao wameungana na Polisi kuua wapinzani kama yaliyotokea kule Manyoni mwaka jana kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Watu wasiojulikana wamemuua Mkazi wa Mtaa wa Lwelyangula kata ya Kitangiri mkoani Shinyanga Malini Kilucha (37) ambaye ni Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Magereza kwa kumfunga mdomo na pua kwa kutumia nguo alizokuwa amezivaa karibu na nyumba aliyokuwa akiishi.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga SACP Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo na kusema wanamshikilia mtu mmoja kwa ajili ya tuhuma za mauaji hayo yalitokea Julai 29 Mwaka huu huku mwenyekiti wa mtaa huo Abel Ngusa wataka wananchi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama.

Your browser is not able to display this video.
 
Funzo kwa polisi na vyombo vengine mkitumiwa na wakubwa siku wanazengo watawageuka maana tunaishi na nyie mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…