HahahahaMkuu hiyo mitaa uliyoitaja ya Ngokolo na Kolandoto mbona ni mbali sana na kilipo kiwabda?hayo maji yamefika huko kwa staili gani?
Tena kolandoto ni mbali sana.Mkuu hiyo mitaa uliyoitaja ya Ngokolo na Kolandoto mbona ni mbali sana na kilipo kiwabda?hayo maji yamefika huko kwa staili gani?
Unaweza usiwe unafahamu au Una maslahi binafsi na Jambo, yote hayo ni kwa ajili ya kujenga taifa moja. Japo mleta mada katuhumu mambo mengi bila ushahidi lakini uchunguzi ufanyike.Acha utumbavu na majungu ya kindezi, tafuta hela. Kukosa kwako ajira jambo kusikutoe ufahamu na kuanza kuandika majungu ya kuchafua brand za watu. Nenda veta then ukaombe hata kazi ya packaging pale.
Hupaswi kutumia mitandao kuweka allegations za kumchafua mtu/kampuni bila ushahidi mdogo tu hata wa picha ya video... Unasema Jambo amenunua watendaji wa serikali, una ushahidi? Unamjua vizuri Salum Mbuzi? Unajua tabia yake? Hayo maji wewe ndio umeyaona leo na kiwanda kina miaka zaidi ya 20..
Acha upuuzi wa shutuma. Tena unastahili lifeban kwa kutumia JF kuchafua brand bila ushahidi... Kwetu ni hapo hapo Ibadakuli tena nyuma ya kiwanda, miaka yote hatujasikia hiyo harufu, wewe wa Sangamwalugesha unakuja kuchafua watu.
Tena kolandoto ni mbali sana.
Mkuu hiyo mitaa uliyoitaja ya Ngokolo na Kolandoto mbona ni mbali sana na kilipo kiwabda?hayo maji yamefika huko kwa staili gani?
Umefikiria kwa kina alichoandika mtoa mada kuhusiana na hayo maji ukiachana na majungu? Je, umewahi kuwa katika mazingira anayolalamikia mtoa mada ukaona ni ukosefu wa ajira?Acha utumbavu na majungu ya kindezi, tafuta hela. Kukosa kwako ajira jambo kusikutoe ufahamu na kuanza kuandika majungu ya kuchafua brand za watu. Nenda veta then ukaombe hata kazi ya packaging pale.
Hupaswi kutumia mitandao kuweka allegations za kumchafua mtu/kampuni bila ushahidi mdogo tu hata wa picha ya video... Unasema Jambo amenunua watendaji wa serikali, una ushahidi? Unamjua vizuri Salum Mbuzi? Unajua tabia yake? Hayo maji wewe ndio umeyaona leo na kiwanda kina miaka zaidi ya 20..
Acha upuuzi wa shutuma. Tena unastahili lifeban kwa kutumia JF kuchafua brand bila ushahidi... Kwetu ni hapo hapo Ibadakuli tena nyuma ya kiwanda, miaka yote hatujasikia hiyo harufu, wewe wa Sangamwalugesha unakuja kuchafua watu.
Hata akijiamini, ajiamini akiheshimu na kuthamini maisha ya watu wengine, wawe wa kipato cha chini au juu kila mmoja ana haki ya kuishi mazingira salama na sio kusababishiwa madhara au vifo na mtu sababu tu mtu ana pesaJambo mbabe sana, alikuwa mbunge wetu huyo Jimbo la meatu.
Jamaa anajiamini kupitiliza.
Jamaa atakua ba shida upstairs au stressMkuu hiyo mitaa uliyoitaja ya Ngokolo na Kolandoto mbona ni mbali sana na kilipo kiwabda?hayo maji yamefika huko kwa staili gani?
Kabla hujaniuliza sana, maana nimefikiria nikasoma na nikaandika... Angalia hapa chini..Umefikiria kwa kina alichoandika mtoa mada kuhusiana na hayo maji ukiachana na majungu? Je, umewahi kuwa katika mazingira anayolalamikia mtoa mada ukaona ni ukosefu wa ajira?
Watu mnapenda kukurupuka sana
Na ndio maana, kwa kipindi hicho hicho cha miaka 20 unayosema, kasi ya saratani mkoani humo imeongezeka mradufu na shida za uzazi. Microplastics na kemikali zinginezo zinafahamika kusababisha saratani.Acha utumbavu na majungu ya kindezi, tafuta hela. Kukosa kwako ajira jambo kusikutoe ufahamu na kuanza kuandika majungu ya kuchafua brand za watu. Nenda veta then ukaombe hata kazi ya packaging pale.