Acha utumbavu na majungu ya kindezi, tafuta hela. Kukosa kwako ajira jambo kusikutoe ufahamu na kuanza kuandika majungu ya kuchafua brand za watu. Nenda veta then ukaombe hata kazi ya packaging pale.
Hupaswi kutumia mitandao kuweka allegations za kumchafua mtu/kampuni bila ushahidi mdogo tu hata wa picha ya video... Unasema Jambo amenunua watendaji wa serikali, una ushahidi? Unamjua vizuri Salum Mbuzi? Unajua tabia yake? Hayo maji wewe ndio umeyaona leo na kiwanda kina miaka zaidi ya 20..
Acha upuuzi wa shutuma. Tena unastahili lifeban kwa kutumia JF kuchafua brand bila ushahidi... Kwetu ni hapo hapo Ibadakuli tena nyuma ya kiwanda, miaka yote hatujasikia hiyo harufu, wewe wa Sangamwalugesha unakuja kuchafua watu.