Nahisi anazungumzia mkondo wa hayo maji kwa kuwa usafiri kwa kufata mikondo mingine ya maji
Anaelezea labda katika kusafiri kwake hayo maji ya viwandani basi yanaenda kuundana na maji mengine ambayo yanatumiwa na binadamu yakiwa yanatoka katika vyanzo tofauti
Hii ni sawa na kusikia kesi za wakati wa mgodi wa North mara na mto tigite au Mwadui kipindi fulani bwawa lao lilibomoka na kuleta athari kwa makazi ya watu
Sio vitu vigeni kama yapo hayo mapungufu basi yafanyiwe kazi
View attachment 3287620
Huo mfereji unaotoa maji taka kutoka kiwandani, haijulikani yanaishia wapi. Na hatujui ni Lita ngapi kwa siku zinaachiwa hapo kama maji taka
Ukiangalia huo mfereji wa maji, hayo maji ni kijani au kama maji yanayopita juu ya ukungu au fangasi na kuathiri rangi ya maji.
Kwa swala la hewa chafu katika maji hili lipo wazi, mtu yeyote anaweza thibitisha kwa kupita hapo barabarani
View attachment 3287619
Umbali uliopo kati ya kiwanda na eneo analozungumzia mleta mada, na njia zingine za kutililisha maji kutoka sehemu mbali mbali
Tuna mpongeza kwa msikiti mzuri sana.