DOKEZO Shinyanga: Maji taka yanayotoka kiwanda hiki cha vinywaji sio salama, Mamlaka zifuatilie

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kabisaaaaa
 
Salum Mbuzi AkA jambo,,,,,,nakumbuka kipindi nasoma meatu secondary kuna siku alitununulia ubwabwa ,tulifurahi sana
 
Yeye na familia yake wana kinga? Bila shaka wanafika kiwandani kila siku

Au nao wamedhurika?
Imekaa kimajungu majungu
 
Wewe utakua salumu mbuzi au kimada wake,mtu anakuja na hoja sio kumkemea..

Hii ni rai na wito kwa serikali kufanya kaziyake vzr baraza la mazingira liingilie kati hali hii.
 
Ana ngozi nyeusi au mwarabu
 
Utakua wewe ndo jambo mwenyewe tueleze vizuri maji machafu yapo yanatiririka kwenye vyanzo ama hayatiririki tuelewe mkuu,acha hasira mjibu mtoa mada
 
Ukiachana na majungu yake vipi kuhusu kutiririsha maji yenye sumu yanayoweza athiri maisha ya binadamu, mazingira pamoja na wanyama? Ndiyo maana nikasema ukiachana na mjungu hayo mengine
 
Kiwanda chochote uwezi kukosa hewa chafu ndo maana viwanda vyote vya zamani unakuta kwanza viko kama umbali wa kilomita 2 kutoka barabara kuu alafu kuna miti mingi inayozunguka kiwanda na makazi ya watu yako mbali kama mita mia 400 sasa hivi ni tofauti ila shinikizo likiwa kubwa lazima aamishe kiwanda tu
 
Ukiachana na majungu yake vipi kuhusu kutiririsha maji yenye sumu yanayoweza athiri maisha ya binadamu, mazingira pamoja na wanyama? Ndiyo maana nikasema ukiachana na mjungu hayo mengine
Hakuna kitu kama hicho. Kama yeye ni mkweli kwa allegations zake si apige picha ya video ya hayo maji na ahakikishe eneo husika litambulike kwamba ni jambo... Sio alete video kumbe ya Ukonga Madafu au mitaa ya Tandale Kwa Tumbo huko...
 
Utakua wewe ndo jambo mwenyewe tueleze vizuri maji machafu yapo yanatiririka kwenye vyanzo ama hayatiririki tuelewe mkuu,acha hasira mjibu mtoa mada
Hakuna maji machafu yanayotiririka kwenye makazi ya watu na kwamba yana harufu. Kama yapo tuone ushahidi
 
Wewe utakua salumu mbuzi au kimada wake,mtu anakuja na hoja sio kumkemea..

Hii ni rai na wito kwa serikali kufanya kaziyake vzr baraza la mazingira liingilie kati hali hii.
Whatever the tag, title, name u preferred to me. My concerns stands firm... Mleta mada alete na ushahidi hapa wa video tu na ioneshe ni eneo husika na sio Kigogo Luhanga huko
 
Mtu anakwambia maji taka yanatoa mimba, bila utafiti halafu madunduka wanasapoti tu. Hamuoni kama ni upuuzi?? Ametafiti lini? Kwa sample gani ya wakazi wa pale?? Ushahidi uko wapi??
Yaani kua anonymous kunampa ujasiri wa kuchafua biashara za watu. This is defamation case...
 
Suala la viwanda kuzalisha taka na taka hizo kutowekewa utaratibu uliosahihi inakwamisha harakati za kuzuia na kupambana na marsdhi yasiyokuwa yakuambukiza.
 
Nadhani kabla ya kufika huko umeshajiridhisha? Au we ndio mwenye kiwanda unajaribu kukinga kifua
 
mleta mada yupo sahihi asilimia 100, kama wewe siyo mkazi wa maeneo hayo utakaza fuvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…