Tetesi: SHINYANGA: Mke wa Wenje pamoja na rafiki wa Esther Matiko wafika na kugawa shilingi milioni moja kwa kila mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa CHADEMA

Team Lissu na kuropoka kunaendelea. Hadi uchaguzi unaisha wengi wenu mtakuwa wateja wa Milembe!
 
Usiseme Mbowe, sema Ayyottolla a.k.a SULTAN au ukipenda mwite MSEVEN wa MACHAME.

Ayyottolla ni kitu gani? Waambie wenzako wakutumie wa teamLISSU wakutumie hayo maneno au majina DM maana yanakushinda kuyaandika.
 
Sasa kama CHADEMA wanafanya Yale Yale ya CCM Kuna haja yoyote ya kutaka kuitoa CCM madarakani kama mambo ndio haya?

Hawa CHADEMA ni wabaya zaidi hata ya CCM kwenye suala la madaraka,


Nasema Kidumu sana chama Cha Mapinduzi
Kina makalla wanawaangalia tu, tayari wameshapata tips za kuja kuwaangamiza kisiasa hapo kwenye kampeni za uchaguguzi mkuu ujao. CCM imeishakusanya data za kuisambaratisha CHADEMA kwa hoja kwamba hawana legacy ya kuisema vibaya kwa sababu chadema ndio inafanya mabaya kuliko ccm. CHADEMA imeisafishia njia nyeupe CCM kuendelea kutawala
 
Unazeeka vibaya mkuu. CCM inaingiaje hapo. Ngoja mwaka Mpya upite utazisikiliza "Kilipu" kutoka Shinyanga.

"kilipi" ina maana gani au inawakilisha nini kuelekea uchaguzi mkuu ndani ya CHADEMA ?
 
Yaani wanafuata njia za mgombea wao, Mbangaizaji ukimuuliza kuwa umepata wapi hizo tetesi usishangae akakwambia aliyempatia hiyo tetesi ni marehemu.
Ahahahahaha! Eti anasema ukweli wakati anasingizia marehemu kwasababu hawawezi kujitetea!
 
Picha ziko wapi? Hizo audio kwanini zisubiri mpaka mwaka mpya?
 
Ayatollah wa MACHAME.

Hapa chini ni tafsiri ya "Ayatollah"

Ayatollah ni jina linalotumiwa kati ya Waislamu wa Shiite kumaanisha kiongozi wa kidini wa kiwango cha juu ambaye ana maarifa makubwa na heshima katika jamii. Katika Kiswahili, Ayatollah ni kama "Sheikh" au "Kiongozi wa Dini", ingawa neno hili linaweza kuwa na maana maalum zaidi katika muktadha wa Shiite. Wakati mwingine, Ayatollah pia hujulikana kama mtu anayesaidia katika tafsiri ya sheria za Kiislamu na kuongoza jamii katika masuala ya kidini.
 
Freeman Yoweri ametuharibia sana chama. Chana kinanuka rushwa. Lissu will fix this shit.
 
Kwahiyi na wewe unaamini tetesi za mtoa mada , ambaye amejiunga siku ya jumatano 25/12/2024, na toka ajiunge mada zake zote ni kumpigia kampeni Lissu huku akihangaika kumponda Mbowe na timu yake?

Tuache kudanganyana.
Kwa wewe chawa unataka nini!!!
 
Hii kazi mnaifanyia Tanzania na waTanzania wote. Hii siyo kazi ya CHADEMA peke yake.

Heshima kwenu wazalendo.
 
Uzuri wa rushwa bwana haina usaliti. Utasema unakula afu utamchagua mwingine ikifika siku ya siku dhamira yako inakuandama.

Cha mtu mavi, ukikubali kua na kubali kuliwa.

Muhimu ni kuzikataa rushwa.. period!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…