Shinyanga: Muuguzi wa Zahanati na Mlinzi mbaroni kwa kuiba Dawa na kuziuza nyumbani huku zingine zikiwa zime-expire

Shinyanga: Muuguzi wa Zahanati na Mlinzi mbaroni kwa kuiba Dawa na kuziuza nyumbani huku zingine zikiwa zime-expire

kuiba ni tabia ya mtu. Mbona walimu hawaibi?
Walimu waibe nini mabenchi au wang'oe milango? 😆 au waondoke na mabegi ya wanafunzi??

Chaki wakamuuzie nani??

Everyday is Saturday................................😎
 
Walimu waibe nini mabenchi au wang'oe milango? 😆 au waondoke na mabegi ya wanafunzi??

Chaki wakamuuzie nani??

Everyday is Saturday................................😎
Vya kuiba havikosekanagi
Hata akiiba muda wa kazi akawa anadeal na mambo binafsi ni mwizi tuu
 
Halafu eti kuna watu wana mulalamikaia waziri wa afya eti anawadharilisha.
Ukiskia kelele sana ujue mirija inakatwa
Hii ni Tanzania mpya Tanzania ya John Pombe Magufuli 💥
 
Sasa kama zilikuwa zimeisha muda wake zilikuwa zimeifadhiwa zahanati ili iweje? Kwann wasingezitupa? Au zilikuwa zinagawiwa hivyo hivyo kwa wagonjwa hapo zahanati?
 
Halafu wewe MATAGA unazingua mnoo na huwa hujielewi,
Kwani wewe unajielewa sasa!?

Yaani unajiona unajikuta unajuuuua.... kwa kutetea wabadhirifu wa huduma za afya wasiwajibishwe! kama tuu ulivyokua unatetea makinikia isizuiliwe na mikataba mibovu isivunjwe.

Yaani wewe uelewa wako uko chini ya kiwango, hoi kabisaaa
 
Back
Top Bottom