Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Walimu waibe nini mabenchi au wang'oe milango? 😆 au waondoke na mabegi ya wanafunzi??kuiba ni tabia ya mtu. Mbona walimu hawaibi?
Chaki wakamuuzie nani??
Everyday is Saturday................................😎