Shinyanga: Mwalimu wa Madrasa atuhumiwa kulawiti wanafunzi 10

Shinyanga: Mwalimu wa Madrasa atuhumiwa kulawiti wanafunzi 10

Hello Mambo vipi, nauza saluni ya kike ina kila kifaa cha kuanzia tena bado vipya kbs pamoja na baadhi ya mafuta na dawa za aina tofauti tofauti...
Yani maana yake ni kwamba hujali kabisa kuhusu taarifa ya mtu kulawiti watoto,unataka tujadili swala la saluni yako

Watu wa insta mnazingua big time.
 
Aisee sijui shida ipo wapi. Lkn Hawa wanaotuhumiwa huu uchafu wawe wanapimwa akili. Haiingii akilini mitaani wasimbe kibao hao maslei kwini, mapunga , Malaya, mashugamami, Bado mtu atamani vitoto? Hapana.
 
Jamii ndiyo inalea haya mambo, jamii yatakiwa onesha kukasirishwa.
Jamii yatakiwa itoe mfano kwa watu wa aina hiyo

Elimu zaidi itolewe kwa watoto

Wazazi tutumie muda kukaa na watoto, kuwapeleleza, kuwaambia waache tamaa

Wazazi twatakiwa tuwaue hao wapuuzi
 
Ndio basi tena washakua mashoga hao, kwenye list ya wanaume hawapo tena yaan wanaume 10 tumeshawapoteza tayari kwenye ile million 30,345,653 kumi washaleftishwa na Hostadhi mmoja

Hili kosa la kulawiti adhabu yake ilibidi iwe Kali sana
Sio kweli mkuu wanaweza kusafishwa na kupona kabisa bila shida yoyote.
 
Wakiambiwa ukweli wanawaka...wazee wa tope kuanzia aliowaletea dini [emoji2048][emoji706]
Hapa unataka kutuma ujumbe gani? Ili ufaidike na nini?

Mkuu wakati mwingine ufikirie kwa ubongo..
Acha husuda na kuchochea uchochezi
 
Mwalimu wa Madrasa katika msikiti wa Mohamed Shunu uliopo Mtaa wa Shunu Kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama, aliyefahamika kwa jina moja la Faidhi anashikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi 10 wa madrasa kwa nyakati tofauti kwa kuwarubuni kwa kuwapa Sh 1000 na wengine Sh 500.

#EastAfricaTV
 

Attachments

  • Screenshot_20221104-085836_Facebook.jpg
    Screenshot_20221104-085836_Facebook.jpg
    120.8 KB · Views: 4
Sijui ni nyeg* au masharti ya hela au domo zege kuna mzee mwingine huku mtaani kwetu juzi tu hapo kakuta analawiti mtoto.

Nilikuwa na muheshimu sana yule mzee nimemshusha sana vyeo baada ya ule uchafu wake na mtoto amekili kamfanyia zaidi ya mara moja.

Anyway tatizo la afya ya akili kwa tanzania ni kubwa sana nchini,watu wengi ni machizi japo wapo mtaani.
 
Sijui ni nyeg* au masharti ya hela au domo zege kuna mzee mwingine huku mtaani kwetu juzi tu hapo kakuta analawiti mtoto.

Nilikuwa na muheshimu sana yule mzee nimemshusha sana vyeo baada ya ule uchafu wake na mtoto amekili kamfanyia zaidi ya mara moja.

Anyway tatizo la afya ya akili kwa tanzania ni kubwa sana nchini,watu wengi ni machizi japo wapo mtaani.
 
Lkn pia kwako wee mzazi unasikia kila siku ubakaji na ulawiti huko madrasa na kwingwineko je Ni lzm mtot kwenda madrassaa kwann usimfundishe mtot wako
 
.
Nikisemaga haya ni matatizo ya kiroho, hizi ni roho chafu zinawasukuma watu kufanya mambo kama haya, ulawiti, ushoga na usagaji, mara nyingi naonekana mshamba hapa jukwaani.
.
Can u just imagine, mtu mzima anakavuaje nguo katoto ka miaka 6 anakaingiza mashine nyuma?? Miaka 6... Hii sio hali ya kawaida.
.
Hawa watafungwa, watanyongwa, watapewa adhabu za kila aina ila haitasaidia. Huwezi kupambana na tatizo la kiroho kwa akili za kimwili.
 
Back
Top Bottom