Shinyanga: Mwalimu wa Madrasa atuhumiwa kulawiti wanafunzi 10

Shinyanga: Mwalimu wa Madrasa atuhumiwa kulawiti wanafunzi 10

.
Nikisemaga haya ni matatizo ya kiroho, hizi ni roho chafu zinawasukuma watu kufanya mambo kama haya, ulawiti, ushoga na usagaji, mara nyingi naonekana mshamba hapa jukwaani...
Usisingizie hizo roho mbona haziwatumi kuwalawiti watoto wao...au walale na mama mzaz au kulawiti babake mzazi.....sio tatizo la kiroho...labda tujadili changamoto ya akili kiujumla
 
Usisingizie hizo roho.mbona haziwatumi kuwalawiti watoto wao...au walale na mama mzaz au kulawiti babake mzazi.....sio tatizo la kiroho...labda tujadili changamoto ya akili kiujumla
.
Of course ninaposema roho sina maana kwamba anayefanya hivyo anakuwa hana akili kabisa. Ndio maana anafanya kwa kujificha, anawalaghai watoto kwa sababu ni rahisi.
 
Waarabu ndio waasisi wa hii michezo hatushangai ndugu zao katika imani wakiendeleza na kuienzi hiyo michezo toka kwa waarabu...shame.

#MaendeleoHayanaChama
 
Jina la kike na lakiume inakuaje WAJINA!!!! faiza na faiz ni mbingu na ardhi, sema hujui kiarabu ndio maana unaona kama yanafanana
Who cares about kiarabu?
Kwahyo kwa ubongo wako mdogo huoni Faiz na Faiza yanakaribiana?
Ndio mbingu na ardhi?
 

Attachments

  • 20221107_211502.jpg
    20221107_211502.jpg
    17.5 KB · Views: 5
Basi wiki ijayo utasikia kutoka upande wa misalaba

Haya mambo sasa hivi kama wanashindana hivi
Mkuu mkumbushe Pep asajili waafrika asilia weusi ili apate baraka ashinde uefa
 
Acha apate anachostahili. Kubaka haikubaliki na lazima mwalifu aadhibiwe.
 
Back
Top Bottom