Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Usisingizie hizo roho mbona haziwatumi kuwalawiti watoto wao...au walale na mama mzaz au kulawiti babake mzazi.....sio tatizo la kiroho...labda tujadili changamoto ya akili kiujumla.
Nikisemaga haya ni matatizo ya kiroho, hizi ni roho chafu zinawasukuma watu kufanya mambo kama haya, ulawiti, ushoga na usagaji, mara nyingi naonekana mshamba hapa jukwaani...
.Usisingizie hizo roho.mbona haziwatumi kuwalawiti watoto wao...au walale na mama mzaz au kulawiti babake mzazi.....sio tatizo la kiroho...labda tujadili changamoto ya akili kiujumla
WanapokezanaBasi wiki ijayo utasikia kutoka upande wa misalaba
Haya mambo sasa hivi kama wanashindana hivi
Who cares about kiarabu?Jina la kike na lakiume inakuaje WAJINA!!!! faiza na faiz ni mbingu na ardhi, sema hujui kiarabu ndio maana unaona kama yanafanana
Who cares about kiarabu?
Kwahyo kwa ubongo wako mdogo huoni Faiz na Faiza yanakaribiana?
Ndio mbingu na ardhi?
Mkuu mkumbushe Pep asajili waafrika asilia weusi ili apate baraka ashinde uefaBasi wiki ijayo utasikia kutoka upande wa misalaba
Haya mambo sasa hivi kama wanashindana hivi
Tulia weweeeHuyu ni ndugu katika Imani, acha uchochezi.
Nobody cares about the meaningFayz la kiume
Fayza la kike
Na ukitaka maana yake unakaribishwa mzee
Bhujiku ng'waka
Nobody cares about the meaning
We care about the letters are they similar?
Wewe mbona unakomaa na kiarabuWewe ni mswahili, ongea kiswahili.. hii lugha waachie wenyewe