Shinyanga: Rais Magufuli amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO, pia aagiza meneja wa TRA kusimamishwa kazi

Shinyanga: Rais Magufuli amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO, pia aagiza meneja wa TRA kusimamishwa kazi

Kumbe huyu RPC ni mchaga hongera zao kwa wizi hata yule wa kagera aliyetumbuliwa kwa kusafirisha kahawa usiku kimagendo kwenda Uganda alikuwa mchaga

Wako wapi mramba na ,mgonja na yona walikaa jela wakati wa jk

State agent
Aliyetorosha madini kwa Rushwa kwenye mabegi ya mil.700 yeye alionekana ni safi kisa sio mchaga sio!!!
Au kwa sababu ni CCM !!!!
Tusiwabague watu kwa makabila yao!!
Haki itendeke bila ubaguzi.
Wanasiasa awamu hii hawafuati sheria zaidi ya mihemko.
Wakikutana na Mtu anayefuata sheria wanamsingizia kuwa hatii amri zao zisizofuata utaratibu.
 
Kigogo naye abafahamiana na rpc aiseee
IMG-20191123-WA0003.jpeg
 
Abwao huyu ni mchaga wa machame kwao na mbowe ,hawa wachaga na wizi ni unyayo na soks ,hata yule RPC wa kagera aliyepigwa chini kwa rushwa naye ni mchaga pia

State agent
Mkuu we meongo Sana anaitwa RICHARD GEORGE ABWAO na nimzaliwa wa msoma mjaruo Sasa kawa mchaga tangu lini ,tangu anasoma University na mfaham nje ndani Hadi anamaluza masters yake
 
Abwao huyu ni mchaga wa machame kwao na mbowe ,hawa wachaga na wizi ni unyayo na soks ,hata yule RPC wa kagera aliyepigwa chini kwa rushwa naye ni mchaga pia

State agent
Ukitaka haki itendeke bila kujali makabila Fanya uchunguzi wa mali zilizopo nchini ulinganishe na vipato halisi vya watumishi wa umma ndio utajua kuwa wezi halisi ni akina nani?

Kwa sasa ni chuki tu dhidi ya Wachagga.
Adolf Hitler alisema "If you want to unite the People give them an enemy to hate"
Ukitaka kuwaunganisha watu, wape adui. Yeye aliwaunganisha Wajerumani kwa kuwapa Adui (Wayahudi). Kila asiyekuwa Myahudi alijisikia faraja kuona wayahudi wakipata tabu sana na hata Mali zao zikichukuliwa na kuuawa.

Karne hii tunaweza kuleta maendeleo makubwa zaidi kwa kuwaunganisha watu na sio kuwagawa kwa malengo ya wanasiasa wachache ili wakae madarakani milele.
 
Hongera sana Magu, polisi wanakuga wajinga sana sana na wanaona kuisaidia CCM ndio pona yao.....wafukuzwe na wafungwe! To hell
Yule Kada wa Kanda ile Pendwa aliyekumbwa na Kashfa ya Rushwa ya mil 700 ya kutorosha Madini yeye alijiongeza kwa kujipambanua kuwa ni kada wa CCM kwa mbwembwe nyingi mpaka Leo ni RPC.
CCM hoyeeeeeeeeee.
Kidumu Milele chama cha mapinduzi.
Haki hapa Duniani wakati Mwingine inapatikana kwa urafiki na undugu.
 
Naona watu wengi hawajaona dhima kuu ni hilo swala la kupokea gawio ambalo kimsigi ilibidi lifanyike jumatatu sema sababu kesho ndo siku ya kupiga kura anataka ku shift attention ili jumatatu magazeti yaripoti kuhusu gawio badala ya kuripoti watu wachache watakao kuwepo kwenye vituo vya kupiga kura hahaha
Hata hili la ndege kushikwa Canada limeibuliwa Leo kimkakati kabisaa,story za uchaguzi hutazisikia tena tutatawaliwa na story za kukamatwa ndege
 
Hayo sasa ni maamuzi ya "kizembe"

Hivi hawa akina Bashite, wenye makosa makubwa zaidi, ni kwanini hataki kuwatimua kazi??

Wivu au chuki. Wenzako wanafanyakazi. Hawachezi wala kuimba taarabu. Tulia tu dawa iingie. Mmezoa majungu tu.
 
Matamu ya kizembe kivipi ndugu? Embu fafanua Una maana gani?
Hayo sasa ni maamuzi ya "kizembe"

Hivi hawa akina Bashite, wenye makosa makubwa zaidi, ni kwanini hataki kuwatimua kazi??
 
Kama ana uwezo wa kuwasimamisha watu wa vyombo vya usalama basi ana uwezo wa kuagiza uchunguzi wa waliompiga Lissu risasi, waliomteka Azory au waliompoteza Ben Saanane, anangoja nini kuamuru IGP na wengineo kuanzisha uchunguzi huo mara moja?
 
Huyu mbwa ni muongo sana sana, achana nae
Mkuu we meongo Sana anaitwa RICHARD GEORGE ABWAO na nimzaliwa wa msoma mjaruo Sasa kawa mchaga tangu lini ,tangu anasoma University na mfaham nje ndani Hadi anamaluza masters yake
 
Hayo sasa ni maamuzi ya "kizembe"

Hivi hawa akina Bashite, wenye makosa makubwa zaidi, ni kwanini hataki kuwatimua kazi
Kama ana uwezo wa kuwasimamisha watu wa vyombo vya usalama basi ana uwezo wa kuagiza uchunguzi wa waliompiga Lissu risasi, waliomteka Azory au waliompoteza Ben Saanane
Huyu jamaa anatumia vibaya mno madaraka yake, kwa kuwa pamoja na kuonyesha *zero tolerance" kwa watumishi wake, lakini akina Bashite wanafanya "blunders" chungu mzima, yeye anaona ndiye mfanyakazi bora wa wakati wote!
 
Hata hili la ndege kushikwa Canada limeibuliwa Leo kimkakati kabisaa,story za uchaguzi hutazisikia tena tutatawaliwa na story za kukamatwa ndege
Kws hiyo serikali ilipanga na mkamata ndege !? Khaaa !
 
Kama ana uwezo wa kuwasimamisha watu wa vyombo vya usalama basi ana uwezo wa kuagiza uchunguzi wa waliompiga Lissu risasi, waliomteka Azory au waliompoteza Ben Saanane, anangoja nini kuamuru IGP na wengineo kuanzisha uchunguzi huo mara moja?
Hataki sasa ! Chunguza wewe !
 
Back
Top Bottom