1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Aliyetorosha madini kwa Rushwa kwenye mabegi ya mil.700 yeye alionekana ni safi kisa sio mchaga sio!!!Kumbe huyu RPC ni mchaga hongera zao kwa wizi hata yule wa kagera aliyetumbuliwa kwa kusafirisha kahawa usiku kimagendo kwenda Uganda alikuwa mchaga
Wako wapi mramba na ,mgonja na yona walikaa jela wakati wa jk
State agent
Mkuu we meongo Sana anaitwa RICHARD GEORGE ABWAO na nimzaliwa wa msoma mjaruo Sasa kawa mchaga tangu lini ,tangu anasoma University na mfaham nje ndani Hadi anamaluza masters yakeAbwao huyu ni mchaga wa machame kwao na mbowe ,hawa wachaga na wizi ni unyayo na soks ,hata yule RPC wa kagera aliyepigwa chini kwa rushwa naye ni mchaga pia
State agent
Ukitaka haki itendeke bila kujali makabila Fanya uchunguzi wa mali zilizopo nchini ulinganishe na vipato halisi vya watumishi wa umma ndio utajua kuwa wezi halisi ni akina nani?Abwao huyu ni mchaga wa machame kwao na mbowe ,hawa wachaga na wizi ni unyayo na soks ,hata yule RPC wa kagera aliyepigwa chini kwa rushwa naye ni mchaga pia
State agent
Yule Kada wa Kanda ile Pendwa aliyekumbwa na Kashfa ya Rushwa ya mil 700 ya kutorosha Madini yeye alijiongeza kwa kujipambanua kuwa ni kada wa CCM kwa mbwembwe nyingi mpaka Leo ni RPC.Hongera sana Magu, polisi wanakuga wajinga sana sana na wanaona kuisaidia CCM ndio pona yao.....wafukuzwe na wafungwe! To hell
Hata hili la ndege kushikwa Canada limeibuliwa Leo kimkakati kabisaa,story za uchaguzi hutazisikia tena tutatawaliwa na story za kukamatwa ndegeNaona watu wengi hawajaona dhima kuu ni hilo swala la kupokea gawio ambalo kimsigi ilibidi lifanyike jumatatu sema sababu kesho ndo siku ya kupiga kura anataka ku shift attention ili jumatatu magazeti yaripoti kuhusu gawio badala ya kuripoti watu wachache watakao kuwepo kwenye vituo vya kupiga kura hahaha
Hayo sasa ni maamuzi ya "kizembe"
Hivi hawa akina Bashite, wenye makosa makubwa zaidi, ni kwanini hataki kuwatimua kazi??
Hayo sasa ni maamuzi ya "kizembe"
Hivi hawa akina Bashite, wenye makosa makubwa zaidi, ni kwanini hataki kuwatimua kazi??
Mkuu we meongo Sana anaitwa RICHARD GEORGE ABWAO na nimzaliwa wa msoma mjaruo Sasa kawa mchaga tangu lini ,tangu anasoma University na mfaham nje ndani Hadi anamaluza masters yake
Huyu jamaa anatumia vibaya mno madaraka yake, kwa kuwa pamoja na kuonyesha *zero tolerance" kwa watumishi wake, lakini akina Bashite wanafanya "blunders" chungu mzima, yeye anaona ndiye mfanyakazi bora wa wakati wote!Kama ana uwezo wa kuwasimamisha watu wa vyombo vya usalama basi ana uwezo wa kuagiza uchunguzi wa waliompiga Lissu risasi, waliomteka Azory au waliompoteza Ben Saanane
Akili zisizo.na akili !Hayo sasa ni maamuzi ya "kizembe"
Hivi hawa akina Bashite, wenye makosa makubwa zaidi, ni kwanini hataki kuwatimua kazi??
Kws hiyo serikali ilipanga na mkamata ndege !? Khaaa !Hata hili la ndege kushikwa Canada limeibuliwa Leo kimkakati kabisaa,story za uchaguzi hutazisikia tena tutatawaliwa na story za kukamatwa ndege
Hapana, ila imepanga muda maalam wa kuelezea tukio hilo kwa public.Kws hiyo serikali ilipanga na mkamata ndege !? Khaaa !
Hataki sasa ! Chunguza wewe !Kama ana uwezo wa kuwasimamisha watu wa vyombo vya usalama basi ana uwezo wa kuagiza uchunguzi wa waliompiga Lissu risasi, waliomteka Azory au waliompoteza Ben Saanane, anangoja nini kuamuru IGP na wengineo kuanzisha uchunguzi huo mara moja?
Ok, kwahiyo kusingekuwa na uvhaguzi wangekaa nalo hilo ! Kweli hasidi hana sababu.Hapana, ila imepanga muda maalam wa kuelezea tukio hilo kwa public.