dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,149
Hawa jamaa wanahasira sijui ya nini kuna siku mlinzi mmoja wa suma jkt alikua ananiuliza kwa ukali kama kuna kosa nimetenda. Eti unaenda wapi ? Mbona nakuona sana hapa wakati kwenye jengo kuna ofisi nyingi nikawa najibu huku nacheka hili nimshushe temper . Nadhani kuna tatizo la kisaikolojia kwa hawa jamaa