mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Suma jkt Wana jisahau Sana .
Wanajiona JWTZ kumbe mgambo tu
Wanajiona JWTZ kumbe mgambo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nawaona wakila doso tamu kambini...
napenda kugegeda........
Huna akili, yaani kuwa trained kuwa askari ndio sababu ya kufanya ukatili kwa raia?Thats right brother. The military beleives war ground is more brutal than training.. so they try to build an enviroment of tourture in order to make recruits to get used to it ,harrasment is one method they use commonly.
But the truth is.. not all of them cope with it.. at the end pf the tunnel not all of them become equal.. other become more brutal than before...
It depends with person ability to control his/her mind
Uwe mgambo au Jwtz,hakuna aliye juu ya sheria.Suma jkt Wana jisahau Sana .
Wanajiona JWTZ kumbe mgambo tu
Wanyimwe malindo... uliwahi kuletwa uzi humu kwamba hao wanaoitwa walinzi wa SUMA JKT most of them wana matatizo ya kisaikolojia. Ether, mafunzo waliyopitia walipata harassment mbaya sana, au mazingira ya kazi (kipato) ni tatizo, etc. Wataalamu wa ustawi wa jamii wanaweza kufanya research zao wakaja na majibu kwanini hawa vijana wana majibu na matendo ya ajabu ajabu.
Ujinga tuHuna akili, yaani kuwa trained kuwa askari ndio sababu ya kufanya ukatili kwa raia?
Asubuhi hii nimemsikia Katibu Mkuu wizara ya Afya akimkana na KULAANI kitendo cha askari huyo.Utajuaje kama inamhusu yeye na kuwa hakuwa akitekeleza amri (majukumu yake)? Ni lazima uwashtaki waajiri wake ambao wao ndio watasema kama alikuwa anatekeleza majukumu yake au la, na kama yalikuwa ni majukumu yalikuwa kwa mujibu wa sheria nk. kama ni malipo wao ndio watalipa pia
Hata hujaelewa nilicho andika. Maybe nikuwekee kwa kiswahili. Ninacho maanisha from in the end of military training watu hawatoki na tabia sawa.Huna akili, yaani kuwa trained kuwa askari ndio sababu ya kufanya ukatili kwa raia?
Aaah lakin si wanakaa kambini mkuuHao walinzi tu.sio JWTZ
Nadhani shughuli hiyo ndio mnayoiweza na kuipenda sana nyie Wakenya..
By the way, kupenda kitu kizuri sio dhambi shida ni hii; unaweza kujitambua kupenda kitu lakini usiwe na uwezo nacho kukipata,kukifanya nk, na ukaishia kukipenda na kujitambua kukipenda sana tu.
Wewe ulisema unajitambua kupenda kusoma sana, How can you prove to me that you are a plorific reader and not just a mere talking to cherish, boost and esteem yourself??!.
Afterall what is a standard measure for the plorific reading??--- wewe umesoma au unasoma vijarida viwili kwa wiki unakuja kutamba hapa!!🤣
Aaah lakin si wanakaa kambini mkuu
Mkuu suma jkt hawapo chini ya wizara ya ulinziHizo ni politics hakuna hatua yeyote itakayochukuliwa na suma jkt,nilitegemea mkuu wa wilaya angeambatana na victims kwenda police station na kufungua mashitaka dhidi ya waziri wa ulinzi na jkt,waziri wa afya,mkuu wa hospital husika na walinzi wahusika na kuiachia mahakama iamue kwanza criminal case then kesi ya madai.5 mingine na haki kama hii ndoto ndani ya nchi yetu.
Common mkuu acha kuchimbia kichwa chako mchangani,wewe ni middle class tumia elimu uliyoipata shule,umesema suma jkt ni independent ndani ya jkt huoni unaandika kisiasa hapo?hawa nani ni political head wao kama sio waziri wa ulinzi na jkt?nimekujibu kwa mara ya mwisho huwa sijibiani na middle class wanaojifanya wapo kwenye ivory towel zao na kujifanya hawaoni yaliopo on the ground .Mkuu suma jkt hawapo chini ya wizara ya ulinzi
Bali ni independent Co operate ndani ya jkt
Hivyo waziri wa ulinzi hawez kuwa liable vicariously
Mkuu mbona unamunkar asubuhi yote hiiCommon mkuu acha kuchimbia kichwa chako mchangani,wewe ni middle class tumia elimu uliyoipata shule,umesema suma jkt ni independent ndani ya jkt huoni unaandika kisiasa hapo?hawa nani ni political head wao kama sio waziri wa ulinzi na jkt?nimekujibu kwa mara ya mwisho huwa sijibiani na middle class wanaojifanya wapo kwenye ivory towel zao na kujifanya hawaoni yaliopo on the ground .
Hehehehe Yeah napenda kugegeda na wala huwa sioni aibu kwa hilo, wewe kama haupendi utakua na kasoro, tafuta msaada siku hizi sio kama zamani kuna suluhu. Kugegeda sio la Wakenya tu, ni utamu aliopewa binadamu nakuruhumia kama haujagundua hilo.
Kuhusu kwangu mimi kupenda kusoma sioni sababu za kukuthibitishia maana haina umuhimu wowote, wewe hatupo nawe kwenye taaluma moja, wala sio marafiki wala hatufahamiani kwa vyovyote, ni mataga tu wa kwenye mtandao wa kijamii wa kuchambana naye wakati nimeboeka.
Lakini kwa wale tuko nao kwenye taaluma moja hata humu JF kunao huwa tunajadili vitabu kwenye inbox, na kuelekezana elekezana, hao kidogo nitakua na sababu za kufuatana nao, pia wale ambao huwa tunajadili kwenye nyuzi za TEHAMA humu utakuta kuna wadau tunaendana vizuri kitaaluma.
kila ninachokifanya huwa nimekiweka kwenye my bucket list of life, na kusoma ni mojawapo, aisei kusoma kuna raha yake, kunakupa uhuru kimtazamo, kimawazo, unakua kwenye kiwango kingine tofauti, hauwezi ukanielewa ila jaribu kuacha ushabiki wa MATAGA hata kwa siku moja utafute kitabu uone raha yake....hehehehe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah hadi kuni lolHalafu hao suma jkt kama wanalinda taasisi yako hakikisha mnalindana yani wakulinde na wewe pia uwalinde, ukisahau kidogo tu laptop ofisini au kitu chochote cha thamani wanapita nacho, wakati mwingine wanaiba hadi kuni
Unapenda sana kugegeda??!!-- hiyo ni kasoro, too much of something is harmful. Kwa hali hiyo vyangudoa wote wa Kibera umeshawamaliza.
Wewe naweza kusema "unasoma sana" for funny na sio kupata elimu.
Juu ya yote ipi ni standard measure ya kusoma sana??-- ndiyo maana nikakuambia unajifurahisha kwa kujiliwaza kwamba unasoma sana.
Mimi ni Mechanical Engineer, up to this point in time I have been reading lots of books and journals in the field, let alone those materials regarding the field I always find in the Net, STILL I DON'T CLAIM ARROGANTLY TO BE A PLORIFIC READER.
Let alone political, social, religious , historical etc magazines and books to mention just a few, I keep on readings to acquire knowledge however I can't call myself a plorific reader but I'm just trying to be one. I'm trying to be a polymath. Reading is an endless journey.
Kwakweli kitu kinachonivutia mimi kuliko vitu vyote ni elimu ya dini na najitahidi kusoma vitabu vya dini ingawa bado sijawa msomaji mkubwa ukilinganisha ukubwa na wingi wa vitabu vya dini, katika hali hiyo bado mimi ni mtoto na kamwe siwezi kujiita msomaji sana hadi naingia kaburini.
Sasa usije hapa na majivuno eti wewe unasoma saaaana!!!🤣 hicho ni kiburi na majivuno na mtu mwenye kiburi hatoona ufalme wa Mungu.
Hakuna mtu aliyesoma saaana toka dunia iumbwe labda wewe kutoka Kibera uwe wa kwanza.🤣