Shinyanga: Suma JKT waagizwa kuwachukulia hatua Walinzi wake waliompiga raia Hospitalini

Shinyanga: Suma JKT waagizwa kuwachukulia hatua Walinzi wake waliompiga raia Hospitalini

Unajua, mtu mwenye akili hupambana na kichaa aliyeshika panga kiakili, hata kwenye vita "retreating" sio aibu au woga, hata kwenye mpira back anaporudisha mpira kwa keeper sio ishara ya kuzidiwa, mambo lazima yapimwe na yafanywe kwa maarifa, maisha yanayothamani kubwa na struggle ni polepole, hayo yote ni ya kuangalia kama jinsi BBI ni ya kuangalia ili kuleta utangamano Kenya.

Machungu yote hayo yatapita, 5 yrs aint long time and Tz of humanity will be back on the track.
Umeongea kwa uchungu sana hadi umenitia huzuni, kweli "One day Tanzania of humanity will be back".
 
Unajua, mtu mwenye akili hupambana na kichaa aliyeshika panga kiakili, hata kwenye vita "retreating" sio aibu au woga, hata kwenye mpira back anaporudisha mpira kwa keeper sio ishara ya kuzidiwa, mambo lazima yapimwe na yafanywe kwa maarifa, maisha yanayothamani kubwa na struggle ni polepole, hayo yote ni ya kuangalia kama jinsi BBI ni ya kuangalia ili kuleta utangamano Kenya.

Machungu yote hayo yatapita, 5 yrs aint long time and Tz of humanity will be back on the track.

Nimefanya edit hii comment yangu baada ya kusoma upya ulichokiandika, nimezoea kukujibu bila kusoma vyote ulivyoandika, kumbe hapa umeandika hadi nimeingiwa na huruma, kwaheri bana, mtayashinda tu.
 
nimezoea kukujibu bila kusoma vyote ulivyoandika,

[Nadhani hii utaisoma yote kwakuwa kuna ponyo kwako na kwa wengine kama wewe]:

Shida ya waafrika wengi ni kutokusoma kabisa au kusoma mambo juu juu, Wazungu wanao msemo huu; "If you want to hide something from Africans (blacks) keep it in writings" ---- mimi sikushangai kwa hiyo kauli yako, kwani waafrika ni wavivu kusoma na huko ndipo ujinga wetu ulipolala. 🤣
 
Napenda kusoma sana, taaluma yangu (STEM) inahusu kusoma kila siku, kwa mwezi lazima nisome walau vitabu viwili la sivyo natolewa nje na kuachwa nyuma na vijana wanaokuja kutokea vyuoni.... lakini kwa ulimwengu wa sasa kuna utitiri wa taarifa kiasi kwamba lazima uchuje nini cha kusoma na nini cha kufanyia skimming au kipi upuuze kabisa.

Kwa siku huwa nimejipa kukaa kwenye computer masaa 11 (kazi zangu nafanyia nyumbani), ndani ya hayo masaa nimetenga mawili tu ndio nitumie kwenye mitandao ya kijamii, kusoma taarifa na mambo mengine mengi, mitandao ya kijamii huwa nakatiza kwenye mingi tu sio huu wa JF pekee, utanikuta kule Quora, Nairaland n.k. Na pia hata hii JF situlii eneo moja, napitia kwa haraka maeneo tofauti kama vile taarifa za kimataifa, teknolojia, mahusiano n.k.

Hivyo utaona kwanini huwa sina muda wa kusoma insha ya mchangiaji pale nikisoma mstari wa kwanza nione ni pumba, huwa ninabonyeza reply na kujibu huo mstari tu na kusonga mbele. Lakini nikiona ametumia muda wake kushirikisha ubongo na kuandika nondo, hamtendea haki na heshima kwa kusoma bandiko lote na aidha nimpe like au nijibu kistaarabu.
 
Napenda kusoma sana

Mimi bado sijawa msomaji sana, ila najitahidi niwe msomaji sana sambamba na KUELEWA nisomacho, that's a main focus.

Na hakuna msomaji sana aliyepata kutokea tangu kuumbwa kwa dunia.

Anayedai kupenda kusoma sana huyo ni mjivuni na mwenye kiburi.

Sema unajaribu kusoma sana pia jitahidi kuelewa unachosoma.
 
Mbona DC nu kama anafanya comedy?! Ilitakiwa aje na adhabu straight. Mamlaka anayo. Awaagize mabosi wa huyo mlinzi wamwajibishe. Before camera alitakiwa kusema nimeshauagiza uongozi to do this and this.

Mim binafsi nina hasira mnoo na hao SUMA..kuna siku pale HOSPITAL ya Mkoa Simiyu alimanusura mkono uchezwe. Mim napeleka dawa niliyoagizwa na daktari nikanunue, then kufika pale entrance wakanigomea kuingia eti muda umeisha. Nikajieleza were, wapi. Mbembeleza piga magoti, wapii! Yaaani. Kama ilivyo hospital ya Shinyanga, ndivyo ilivyo hospital ya Mkoa Simiyu, Nyaumata. Bila shaka pale mkono huwa unachezwa kila Mara, sema tu camera ya paparazi haijawahi kunasa visanga na visirani pale
 
Mkuu wa wilaya Shinyanga, Jasinta Mboneko, ameuagiza uongozi wa kampuni ya ulinzi ya Suma JKT, kuwachukulia hatua kali za nidhamu walinzi waliohusika kwenye tukio la kumpiga mwananchi Daudi Lefi, aliyefika katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa huo kumuhudumia mgonjwa.

Agizo hilo amelitoa hii leo Januari 23, 2021, alipofika hospitalini hapo akiwa na kamati yake ya ulinzi na usalama na kufanya kikao cha ndani na uongozi wa hospitali hiyo na kueleza kuwa hospitali siyo sehemu ya kufanya fujo kwani Wananchi wanahitaji huduma.

Jana Januari 22, 2021, katika mitandao ya kijamii ilisambaa video ikionesha walinzi wakimshambulia, mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Daudi Lefi, aliyekuwa akitoka kwa ajili ya kutafuta dawa za mgonjwa ambaye ni mama yake, na ndipo walinzi hao walianza kumpiga kwa madai ya kwamba muda wa kuona wagonjwa umekwisha.

Imeelezwa kuwa wakati kijana huyo akishushiwa kipigo na walinzi hao, mdogo wake, Lydia Lefi, alisikika akiwataka waache kumpiga ndugu yake kwa kuwa walikuwa wanakwenda kuchukua dawa.

View attachment 1684679
Safi sana, wafukuzwe na kazi kabsaaaa
 
... harassment, as you have said, is normal in military trainings, but won't affect you much as you know there is "hope" at the end of the "tunnel". Tatizo linakuwa kubwa pale unapokuwa harassed, yet when you come to the ground the situation is even worse! Hapa lazima uwe "mnyama".
Thats right brother. The military beleives war ground is more brutal than training.. so they try to build an enviroment of tourture in order to make recruits to get used to it ,harrasment is one method they use commonly.
But the truth is.. not all of them cope with it.. at the end pf the tunnel not all of them become equal.. other become more brutal than before...

It depends with person ability to control his/her mind
 
...
Mim binafsi nina hasira mnoo na hao SUMA..kuna siku pale HOSPITAL ya Mkoa Simiyu alimanusura mkono uchezwe. Mim napeleka dawa niliyoagizwa na daktari nikanunue, then kufika pale entrance wakanigomea kuingia eti muda umeisha. Nikajieleza were, wapi. Mbembeleza piga magoti, wapii! Yaaani. Kama ilivyo hospital ya Shinyanga, ndivyo ilivyo hospital ya Mkoa Simiyu, Nyaumata. Bila shaka pale mkono huwa unachezwa kila Mara, sema tu camera ya paparazi haijawahi kunasa visanga na visirani pale
... hao jamaa hufanya kazi kama maroboti; no thinking, no logical reasoning at all! Umetumwa dawa na daktari na wanaona kabisa umebeba dawa na prescription za daktari badala hata ya kufikiria kwamba hii isingetokea kama hospitali ingekuwa na dawa wao mavitisho yasiyokuwa na kichwa wala miguu!

Kimsingi wewe umesaidia kutekeleza ambacho hospitali/serikali ilitakiwa kutekeleza lakini matokeo yake unakuwa harassed!
 
Mkuu wa wilaya Shinyanga, Jasinta Mboneko, ameuagiza uongozi wa kampuni ya ulinzi ya Suma JKT, kuwachukulia hatua kali za nidhamu walinzi waliohusika kwenye tukio la kumpiga mwananchi Daudi Lefi, aliyefika katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa huo kumuhudumia mgonjwa.

Agizo hilo amelitoa hii leo Januari 23, 2021, alipofika hospitalini hapo akiwa na kamati yake ya ulinzi na usalama na kufanya kikao cha ndani na uongozi wa hospitali hiyo na kueleza kuwa hospitali siyo sehemu ya kufanya fujo kwani Wananchi wanahitaji huduma.

Jana Januari 22, 2021, katika mitandao ya kijamii ilisambaa video ikionesha walinzi wakimshambulia, mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Daudi Lefi, aliyekuwa akitoka kwa ajili ya kutafuta dawa za mgonjwa ambaye ni mama yake, na ndipo walinzi hao walianza kumpiga kwa madai ya kwamba muda wa kuona wagonjwa umekwisha.

Imeelezwa kuwa wakati kijana huyo akishushiwa kipigo na walinzi hao, mdogo wake, Lydia Lefi, alisikika akiwataka waache kumpiga ndugu yake kwa kuwa walikuwa wanakwenda kuchukua dawa.

View attachment 1684679
Hao walinzi unakuta hawaja ajiriwa bado wanajitolea hivyo posho zao ni changamoto wana stress za maisha
 
Mimi bado sijawa msomaji sana, ila najitahidi niwe msomaji sana sambamba na KUELEWA nisomacho, that's a main focus.

Na hakuna msomaji sana aliyepata kutokea tangu kuumbwa kwa dunia.

Anayedai kupenda kusoma sana huyo ni mjivuni na mwenye kiburi.

Sema unajaribu kusoma sana pia jitahidi kuelewa unachosoma.

Kujitambua kama mwenye kupenda kusoma sana sio dhambi, sio kosa, in fact ni jambo njema sana maana dunia ya leo ukijifungia Buza hutaki kusoma utakua unaaminishwa kila chochote cha kijiweni na kwenda nacho vivyo hivyo.
Kimsingi ni kujua namna ya kuchuja takataka na kuhakikisha kila unachokisoma kina umuhimu au kinaongeza chochote kwenye ufahamu wako wa mambo.
 
Kujitambua kama mwenye kupenda kusoma sana sio dhambi, sio kosa, in fact ni jambo njema sana

Unaweza kujitambua kupenda utajiri, je wewe unakuwa ni tajiri kwa kuwa unazo ndururu kadhaa???, the same applies to the plorific reading, unaweza kupenda sana kusoma na usiwe msomaji bali majivuno tu ya watu wa Kibera.🤣
 
Halafu hao suma jkt kama wanalinda taasisi yako hakikisha mnalindana yani wakulinde na wewe pia uwalinde, ukisahau kidogo tu laptop ofisini au kitu chochote cha thamani wanapita nacho, wakati mwingine wanaiba hadi kuni
Askar lazima kujio ngeza
 
Unaweza kujitambua kupenda utajiri, je wewe unakuwa ni tajiri kwa kuwa unazo ndururu kadhaa???, the same applies to the plorific reading, unaweza kupenda sana kusoma na usiwe msomaji bali majivuno tu ya watu wa Kibera.🤣

Kwamba unapenda utajiri na unatia juhudi kila siku uwe tajiri, sio dhambi kuwaambia watu kwamba unapenda kuwa tajiri.
Napenda kula, napenda kusafiri, napenda mazoezi, napenda KUSOMA (kitu kinachokupa kiwewe na ambacho hakipo kwa Watanzania), napenda kuogelea, napenda kugegeda...........napenda vingi tu, na huwa sioni aibu kuvitaja kwamba navipenda.
 
... uliwahi kuletwa uzi humu kwamba hao wanaoitwa walinzi wa SUMA JKT most of them wana matatizo ya kisaikolojia. Ether, mafunzo waliyopitia walipata harassment mbaya sana, au mazingira ya kazi (kipato) ni tatizo, etc. Wataalamu wa ustawi wa jamii wanaweza kufanya research zao wakaja na majibu kwanini hawa vijana wana majibu na matendo ya ajabu ajabu.
Hao ni magalasa yasiyojitambua.
 
Askari akifanya criminal act , hiyo inamhusu yeye mwenyewe tu.
Hapo ni kufungua malamiko polisi ili hatua nyingine ziendelee.
Utajuaje kama inamhusu yeye na kuwa hakuwa akitekeleza amri (majukumu yake)? Ni lazima uwashtaki waajiri wake ambao wao ndio watasema kama alikuwa anatekeleza majukumu yake au la, na kama yalikuwa ni majukumu yalikuwa kwa mujibu wa sheria nk. kama ni malipo wao ndio watalipa pia
 
Back
Top Bottom