dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,149
Huwa wanapitia yale mafunzo kamili ya jeshi la kupigana vita!... uliwahi kuletwa uzi humu kwamba hao wanaoitwa walinzi wa SUMA JKT most of them wana matatizo ya kisaikolojia. Ether, mafunzo waliyopitia walipata harassment mbaya sana, au mazingira ya kazi (kipato) ni tatizo, etc. Wataalamu wa ustawi wa jamii wanaweza kufanya research zao wakaja na majibu kwanini hawa vijana wana majibu na matendo ya ajabu ajabu.
Maskini hana lake, sasa viongozi wanaocharaza wananchi viboko wanaachiwa waendelee ila walinzi ndio wachukuliwe hatua, hebu leta na taarifa kama MaRC wanachukuliwa hatua kwa kulaza wanaume chini na kuwacharaza viboko.
Hao viongozi wamepewa order kutoka ngazi za juu kufanya mambo hayo.
Suala lingekuwa hivi; je hiyo order kutoka ngazi za juu ni halali kwa mujibu wa sheria za Tz?? ---- hapo sasa tungeweza kujadili.
Tujadili uhalali wa amri tusijadili matendo ya hiyo amri.
.----let's discuss on the order and not on the enforcement of the order----. let's discuss on a cause and not on its effect.
Kwa mujibu wa sheria za nchi yetu hiyo amri sio sahihi. That's is my personal take.
Mambo ya hovyo ya aina hiyo au yanayofanana na hayo yanapatika katika nchi nyingi hasa za kiafrika na Kenya in that case is not exceptional.
Sasa hiyo ndio aibu zaidi, yaani viongozi wapewe order za kuzurula wakicharaza wananchi viboko, ila mpigwe tu maana hapo tayari mtakua mnachukuliwa kama makondoo wa kuswagwa.
Halafu hao suma jkt kama wanalinda taasisi yako hakikisha mnalindana yani wakulinde na wewe pia uwalinde, ukisahau kidogo tu laptop ofisini au kitu chochote cha thamani wanapita nacho, wakati mwingine wanaiba hadi kuni
Kuchukua watu waliopitia mafunzo ya kijeshi pekee (JKT) na kuwapeleka kufanya kazi za kuhudumia jamii kipolisi ni kuwatafutia balaa wananchi. Askari wa JKT anpotaka kujiunga Polisi anapelekwa CCP miezi 9 kwa mafunzo ya kuhudumia jamii bila kujali amekaa JKT mwaka mzima au miwili. Hata kama Polisi wana madhaifu yao pia lakini utendaji wa askari wa SUMA JKT ni wa ovyo kila eneo walipo.... uliwahi kuletwa uzi humu kwamba hao wanaoitwa walinzi wa SUMA JKT most of them wana matatizo ya kisaikolojia. Ether, mafunzo waliyopitia walipata harassment mbaya sana, au mazingira ya kazi (kipato) ni tatizo, etc. Wataalamu wa ustawi wa jamii wanaweza kufanya research zao wakaja na majibu kwanini hawa vijana wana majibu na matendo ya ajabu ajabu.
Ameshafukuzwa tangu juzi.Vs nesi aliyempiga Kofi moja mama mjamzito huko sumbawanga
Sahihi mkuu, mafunzo ya kijeshi Africa ni ushenzi mtupu.Tafuta maana ya PTSD... mafunzo ya kwetu Afrika huwa ni kukomoana, unakuta kurutu anacharazwa viboko balaa eti mafunzo.
Kunywa soda kwa bill yangu Mkuu.Hao ufundishwa kutumia nguvu kutatua tatizo kuwaweka sehemu hizo zenye kuhitaji matumizi ya akili ni kuwakosea wananchi.Toka lini mwanajeshi na customer care vikaendana.