Shinyanga: Suma JKT waagizwa kuwachukulia hatua Walinzi wake waliompiga raia Hospitalini

napenda kugegeda........


Nadhani shughuli hiyo ndio mnayoiweza na kuipenda sana nyie Wakenya..

By the way, kupenda kitu kizuri sio dhambi shida ni hii; unaweza kujitambua kupenda kitu lakini usiwe na uwezo nacho kukipata,kukifanya nk, na ukaishia kukipenda na kujitambua kukipenda sana tu.

Wewe ulisema unajitambua kupenda kusoma sana, How can you prove to me that you are a plorific reader and not just a mere talking to cherish, boost and esteem yourself??!.


Afterall what is a standard measure for the plorific reading??--- wewe umesoma au unasoma vijarida viwili kwa wiki unakuja kutamba hapa!!🤣
 
Huna akili, yaani kuwa trained kuwa askari ndio sababu ya kufanya ukatili kwa raia?
 
Wanyimwe malindo
 
A Asubuhi hii nimemsikia Katibu Mkuu wizara ya Afya akimkana na KULAANI kitendo cha askari huyo.
Sasa pegine katumwa na maruhani kitendo cha kupiga wananchi.
 
Unapompa mwanajeshi aliyefunzwa kudeal na maadui kazi ya kuhudumia raia ndio matokeo yake haya.
 
Huna akili, yaani kuwa trained kuwa askari ndio sababu ya kufanya ukatili kwa raia?
Hata hujaelewa nilicho andika. Maybe nikuwekee kwa kiswahili. Ninacho maanisha from in the end of military training watu hawatoki na tabia sawa.
Wengine wanatoka na roho za kinyama.. wengine wanatoka kawaida, it depends na uwezo wa mtu ku control mind yake.
 
Hao Suma JKT kuna wengi wametoka JKT baada ya kukosa ajira serikalini wakatupwa SUMA kwa mshahara wa Laki na nusu (may be wamepandishiwa siku hizi), lazima wawe na hasira, unakuta mtu mlipiga depo moja mwenzio yupo kitengo wewe umekua mfungua mageti, inauma sanaaaa,

Lakini pia kwenye sekta za Afya naona kama hawatakiwi kuwepo, ukiwa na mahasira hasira usifanye kazi hospital, kule waweza muona mtu mzima kwa nje kumbe katoroka wodi ya vichaa au mwingine ana stress za mgonjwa wake badala umfariji unamuongezea tatizo.
 

Hehehehe Yeah napenda kugegeda na wala huwa sioni aibu kwa hilo, wewe kama haupendi utakua na kasoro, tafuta msaada siku hizi sio kama zamani kuna suluhu. Kugegeda sio la Wakenya tu, ni utamu aliopewa binadamu nakuruhumia kama haujagundua hilo.

Kuhusu kwangu mimi kupenda kusoma sioni sababu za kukuthibitishia maana haina umuhimu wowote, wewe hatupo nawe kwenye taaluma moja, wala sio marafiki wala hatufahamiani kwa vyovyote, ni mataga tu wa kwenye mtandao wa kijamii wa kuchambana naye wakati nimeboeka.
Lakini kwa wale tuko nao kwenye taaluma moja hata humu JF kunao huwa tunajadili vitabu kwenye inbox, na kuelekezana elekezana, hao kidogo nitakua na sababu za kufuatana nao, pia wale ambao huwa tunajadili kwenye nyuzi za TEHAMA humu utakuta kuna wadau tunaendana vizuri kitaaluma.
kila ninachokifanya huwa nimekiweka kwenye my bucket list of life, na kusoma ni mojawapo, aisei kusoma kuna raha yake, kunakupa uhuru kimtazamo, kimawazo, unakua kwenye kiwango kingine tofauti, hauwezi ukanielewa ila jaribu kuacha ushabiki wa MATAGA hata kwa siku moja utafute kitabu uone raha yake....hehehehe
 
Mkuu suma jkt hawapo chini ya wizara ya ulinzi
Bali ni independent Co operate ndani ya jkt
Hivyo waziri wa ulinzi hawez kuwa liable vicariously
 
Mkuu suma jkt hawapo chini ya wizara ya ulinzi
Bali ni independent Co operate ndani ya jkt
Hivyo waziri wa ulinzi hawez kuwa liable vicariously
Common mkuu acha kuchimbia kichwa chako mchangani,wewe ni middle class tumia elimu uliyoipata shule,umesema suma jkt ni independent ndani ya jkt huoni unaandika kisiasa hapo?hawa nani ni political head wao kama sio waziri wa ulinzi na jkt?nimekujibu kwa mara ya mwisho huwa sijibiani na middle class wanaojifanya wapo kwenye ivory towel zao na kujifanya hawaoni yaliopo on the ground .
 
Mkuu mbona unamunkar asubuhi yote hii
Mie middle class nani kwakwambia
Mie ni lower class
Narudia suma jkt si mali ya wizara ya ulinzi bali ni independent institution ndani yake
Ipo liable to be sued
 


Unapenda sana kugegeda??!!-- hiyo ni kasoro, too much of something is harmful. Kwa hali hiyo vyangudoa wote wa Kibera umeshawamaliza.


Wewe naweza kusema "unasoma sana" for funny na sio kupata elimu.

Juu ya yote ipi ni standard measure ya kusoma sana??-- ndiyo maana nikakuambia unajifurahisha kwa kujiliwaza kwamba unasoma sana.

Mimi ni Mechanical Engineer, up to this point in time I have been reading lots of books and journals in the field, let alone those materials regarding the field I always find in the Net, STILL I DON'T CLAIM ARROGANTLY TO BE A PLORIFIC READER.

Let alone political, social, religious , historical etc magazines and books to mention just a few, I keep on readings to acquire knowledge however I can't call myself a plorific reader but I'm just trying to be one. I'm trying to be a polymath. Reading is an endless journey.

Kwakweli kitu kinachonivutia mimi kuliko vitu vyote ni elimu ya dini na najitahidi kusoma vitabu vya dini ingawa bado sijawa msomaji mkubwa ukilinganisha ukubwa na wingi wa vitabu vya dini, katika hali hiyo bado mimi ni mtoto na kamwe siwezi kujiita msomaji sana hadi naingia kaburini.

Sasa usije hapa na majivuno eti wewe unasoma saaaana!!!🤣 hicho ni kiburi na majivuno na mtu mwenye kiburi hatoona ufalme wa Mungu.

Hakuna mtu aliyesoma saaana toka dunia iumbwe labda wewe kutoka Kibera uwe wa kwanza.🤣
 
Halafu hao suma jkt kama wanalinda taasisi yako hakikisha mnalindana yani wakulinde na wewe pia uwalinde, ukisahau kidogo tu laptop ofisini au kitu chochote cha thamani wanapita nacho, wakati mwingine wanaiba hadi kuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah hadi kuni lol
 

Kupenda sio lazima imaanishe ni too much, kimsingi nafuata ratiba ya kugegeda, ikiwemo kwa vitu vingine ninavyovipenda kama vile kusoma. Kugegeda kuna raha yake bana, kusoma raha yaani samahani pole yako unakosa vitu muhimu sana kimaisha.... aisei hehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…