Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Fikiria nje ya box wakati mwingine. Siyo lazima kila kitu kiandikwe. Ni tamaa ya ngono kwa upande wa wabakaji, siyo kwa upande wa aliyebakwa.
Chanzo cha mtoto kubakwa ni tamaa za ngono? Seriously?
Mtoto wa miaka sita anajua ngono?Anapata hisia?
Wamemuonea na kumdhalilisha kusema amebakwa kwa tamaa ya ngono it's not right and it's not fair.
A six year old is naive and innocent. Wakisema tamaa ya kupewa hela na kununuliwa vitu sawa lakini sio ya ngono.