Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Mama angu, Wazazi wa siku hizi ndio hawa unaowaona na saa nyingine hata Mama wa mtoto hajui kama katoto kake huwa kanaonjeshwa hiyo kitu.Mchukue na kavideo uturushie,😔😔😔
Mama angu, Wazazi wa siku hizi ndio hawa unaowaona na saa nyingine hata Mama wa mtoto hajui kama katoto kake huwa kanaonjeshwa hiyo kitu.Mchukue na kavideo uturushie,😔😔😔
Na kule kwetu Mbeya, wale ndugu zangu Wasafwa, huwa wanawanywesha watoto, tena wachanga, ili walale usingizi, wao waendelee na shughuri zingine. Lakini, hilo ni kosa, ambalo na elimu inahitajika kupewa hao watu.Iringa huko katoto kananywesha ulanzi ili kalale kasilete usumbufu wakat mzaz akiwa katika shughul za shamba
umeiona hiyo video ww au unachangia tu ?uchunguzi muhimu!
Vipi kama watuhumiwa wakipelekwa mahakamani wakakana kuwa ile haikua bia bali ilikua soda ndani ya chupa ya bia? Si askari wataendelea kuonekana vilaza? Lazima wajiridhishe kwa kufanya uchunguzi pia, video sio 100%
Kama unampa vadka sawa.