Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Mimi nilichoelewa kutoka kwako ni woga wako kuhusu chanjo hasa baada ya kusikia Kauli ya Mkuu juzi aliposema Machanjo mengine yanaleta Macancer pamoja na kuzuia kuzaa.😅😅Sasa kama wao wamechanjwa.
Maana yake hawawezi kuambukizwa Corona.
So watuache tusichanjwe. Maana wao wana kinga, hatuwezi kuwaambukiza.
Nadhani kama sababu ni hizo, hao wazungu wakiamua kukupata hawashindwi, mbona vitu vingi tuna import kutoka kwao, unadhani watashindwa kweli??
Chanjo ya TB siku hizi kila mtoto anachanjwa, unadhani kwanini isingetosha kuwachanja watoto DSM peke yao badala yake ni kila mtoto Tanzania??
Jibu ni kuwa TB inaenezwa kwa hewa, the same na Hiyo COVID19. Kwahiyo ni lazima kila mtu achanjwe, kuzuia maambukizi ambayo kwa kiasi kikubwa yanaathiri system ya Upumuaji.
NB: Sio mtaalamu wa afya, hivyo niko tayari kusahihishwa.