tazidi kuongeza majina hadi watimize lengo laoKwa hiyoo hivi virus vya Corona ni season na kama ni season ipo mpaka ya ngapi
Kwa hiyoo hivi virus vya Corona ni season na kama ni season ipo mpaka ya ngapi
Mkuu kirusi gani? Natural au patented?
Naona fact checkers wameshakupata. Jifunze zaidi kuhusu hao, ni akina nani, kwa nini wametokea kipindi cha korona, financiers wao ni nani - kisha utajua malengo yao ni nini - na yamkini utajitoa kwenye nira waliyokuvika tayari mkuu.Habari za kuokoteza kwenye masuala ya kitaaluma? Mtawapata wa aina ya akina Gwajiboy pekee:
Fact check: List of US patents is not evidence that viruses are manmade
Naona fact checkers wameshakupata. Jifunze zaidi kuhusu hao, ni akina nani, kwa nini wametokea kipindi cha korona, financiers wao ni nani - kisha utajua malengo yao ni nini - na yamkini utajitoa kwenye nira waliyokuvika tayari mkuu.
Ni mbwembwe tu wote wale lao moja. Chanjo almost zote zimejazwa vitu vinavyofanana.Hiki pia kinahitaji chanjo yake au ile ile ya JJ inatosha?
Nadhani ni jina la mwadhirka au mgunduzi wa mwanzo. Inaweza kuwa jina lake halisi au nick name yake...na wakati mwingine wanabatiza kwa namba... ambayo kwa maoni yangu inaashiria reg. Na. Ni mawazo yangu lakini sina vyanzo vya uthibitisho.Duh hivi nani anaya batiza majina ya hizi corona
Ova
Dah....Kama tupo "mu" Sasa hivi...hadi tufike omega...tutegemee variants Kama 10 hivi....kazi tunayoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£Duh hivi nani anaya batiza majina ya hizi corona
Ova