#COVID19 Shirika la Afya linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho 'Mu'

#COVID19 Shirika la Afya linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho 'Mu'

Kwa hiyoo hivi virus vya Corona ni season na kama ni season ipo mpaka ya ngapi

Elimu ni bahari mkuu. Huu uwanja nao ni mpana mno.

Kuwaachia wataalamu ilikuwa best option.

Kama kujiuliza tuna mengi ya kujiuliza hata kwenye smartphone, simu achilia mbali mashine za mri na ct/scan.
 
Naona fact checkers wameshakupata. Jifunze zaidi kuhusu hao, ni akina nani, kwa nini wametokea kipindi cha korona, financiers wao ni nani - kisha utajua malengo yao ni nini - na yamkini utajitoa kwenye nira waliyokuvika tayari mkuu.

Kwamba "fact check" wameanza kipindi cha Corona 😂😂😂😂?

Huna hata habari kuwa Bi Hillary Clinton alitumia sana Fact check kumuumbua Trump kwenye kinyang'anyiro cha urais America 2016.

Debate fact-check: Hillary Clinton and Donald Trump's claims reviewed

Kumbe wewe ni mbumbumbu zaidi kuliko hata wanaotambulika kwa utambulisho huo.

😂😂😂😂!

Hiiiiii bagosha!
 
Hiki pia kinahitaji chanjo yake au ile ile ya JJ inatosha?
 
Duh hivi nani anaya batiza majina ya hizi corona

Ova
Nadhani ni jina la mwadhirka au mgunduzi wa mwanzo. Inaweza kuwa jina lake halisi au nick name yake...na wakati mwingine wanabatiza kwa namba... ambayo kwa maoni yangu inaashiria reg. Na. Ni mawazo yangu lakini sina vyanzo vya uthibitisho.
 
Duh hivi nani anaya batiza majina ya hizi corona

Ova
Dah....Kama tupo "mu" Sasa hivi...hadi tufike omega...tutegemee variants Kama 10 hivi....kazi tunayo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom