Shirika la Fedha Duniani (IMF) laahidi kuipatia Tanzania fedha itakayoihitaji

Mikopo sio misaada, acheni wakopeshwe tu. Hiyo ndiyo inajenga uwanja wa ndege chato tatizo liko wapi?!
 
Wacha uongo Tanzania walishasema kama hutaki kufuta madeni sisi tutaendelea kukulipa tu na hatuna wasiwasi. JFYI Tanzania ina uwezo wa kulipa deni lake kila mwezi kiasi cha USD 300,000 na kuendelea kuwekeza kwenye miradi yake ya kimkakati. Kuweza kukopa madeni mapya nk. IMF wanafahamu Tanzania ikifanikiwa tu biashara yao itakufa siku za usoni. Vile vile wanafahamu ndio itakuwa mwisho wa mtu mweupe komwonea mwafrika. The bigger picture is bigger than what you think! Come out of that small box. JPM is showing Africans how is done and the white men is worried.

$300,000 hio ni pesa ndogo sana na ni rejesho la kila mwezi la mfanyabiashara tu na sio nchi.

Usiandike usichokijua.
 
True wanaogopa tz kufanikiwa nje ya box ya mabeberu maana wamegundua magu awezi kukwamishwa na visenti vyao wala korona ,basi wanaogopa vuguvugu la wananchi wa Africa kupinga serikali zao zinazo tukuza mabeberu kwa kupitia influence ya magufuli ndiyo maana wanajipendekeza kwa magufuli
 
Kwenye psychology hii tunaiita 'positive / negative reinforcement', mbumbumbu wa lumumba hamuwezi kuelewa hii.

IMF inawapa matumaini na masharti fulani fulani, ukitii unapewa msaada (zawadi ya utii), usipo tii unanyimwa msaada ambao ulikwisha upigia mahesabu (adhabu ya ukaidi).

Kwa kutumia mbinu hii masikini yeyote lazima arudi kwenye mstali na atii maagizo ya wakubwa
Na uzuri Tanzania ni wewe tu ndio uliyesoma psychology. Tuambie sisi tulioishia la nne B bana.
 
Uchumi Wa Kati
Bwana Bure Hayupo
Ndugu Zangu Tuchape Kazi
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Tutaelewana tu Tanzania ni nchi huru na yenye ushawishi mkubwa kwa mataifa ambayo ni marafiki wa Tanzania. IMF wanafahamu nguvu ya Tanzania hasa katika kanda hii, tupo vizuri na wao wanafahamu ukimwona simba kalala usichezee mkia wake.
Soma vizuri ...... "kuna mambo ya kufanyia kazi". Ukisikia maneno kama hayo, tena ni kutoka kwa mtu kama Kabudi, ujue things are not smooth.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha uongo Tanzania walishasema kama hutaki kufuta madeni sisi tutaendelea kukulipa tu na hatuna wasiwasi. JFYI Tanzania ina uwezo wa kulipa deni lake kila mwezi kiasi cha USD 300,000 na kuendelea kuwekeza kwenye miradi yake ya kimkakati. Kuweza kukopa madeni mapya nk. IMF wanafahamu Tanzania ikifanikiwa tu biashara yao itakufa siku za usoni. Vile vile wanafahamu ndio itakuwa mwisho wa mtu mweupe komwonea mwafrika. The bigger picture is bigger than what you think! Come out of that small box. JPM is showing Africans how is done and the white men is worried.
Sahihisha Kiingereza chako. Una tatizo tu la Kiingereza au na reasoning pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameona tumeichunia mikopo yao sasa wamelegea na kupongeza kuhusu corona
Hatutaki mikopo yenye masharti ya ushoga
 
$300,000 hio ni pesa ndogo sana na ni rejesho la kila mwezi la mfanyabiashara tu na sio nchi.

Usiandike usichokijua.
Sasa mkuu si uandike pesa kubwa ya huyo mfanyabiashara wako wa mfukoni kwani kuna shida gani? Unajitutumua wakati huna kitu, sisi tunajikuna tunapoweza.
 
Wacha ujinga $300,00/mwezi hio ni hela ndogo sana, nchi hii inalipa mabilion ya fedha,tatizo lako wewe haujui hata uki-convert hio $300,000 haifiki hata Mil. Mia saba za kibongo.

Jifunze basi hata kujua hesabu ndogo ndogo.
 
Hiyo figure ya laki tatu alitamka JPM akiwa Chato (Deni la IMF na WB), sasa kama wewe mwerevu unafahamu wanalipa ngapi si useme mbona umekaa kwenye fence. JFYI bolded above kuna tofauti kati ya figures ulizoweka.

Hesabu sio shida kwa sababu mimi sijasema deni ni kiasi gani na makubaliano wanalipa kiasi gani, kama una takwimu zimwage tu.

East Africa: Three EAC States to Pay Sh35 Trillion in Debt Servicing
 
Tatizo mkichukua mkopo wa kupambana na koona, koona itaanza kusumbua hapa. waulize kenya wanavyohangaika na koona sasa..
 
Aibu tu izi. Mnawatukana ila pesa zao mnazitolea macho

Wamezitoa wenyewe, baada ya kuona hatuna haraka nazo kama majirani zetu,
Nadhani sasa watakubali mashariti nafuu kwa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom