digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu It is aNafikiri Sisi hatuko transparent ndio maana wametuchunia
Loan(mkopo) and not grant,soma tena ili uelewe,huu sio msaada,hata sisi kama nchi tukitaka kukopa tunapewa ila jembe letu JPM kakataa kukopa maana uzalishaji umeshuka anachowata hawa wa world bank wasitishe kwanza marejesho ya mikopo wanayotudai ili pesa hii itumike kupambana na athari za covid na sio kukopa wakati hakuna uzalishaji kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app