Shirika la Fedha Duniani (IMF) laidhinisha fedha kwa ajili ya Kenya na Uganda kusaidia kupambana na makali ya uchumi

Shirika la Fedha Duniani (IMF) laidhinisha fedha kwa ajili ya Kenya na Uganda kusaidia kupambana na makali ya uchumi

Nafikiri Sisi hatuko transparent ndio maana wametuchunia
Mkuu It is a
Loan(mkopo) and not grant,soma tena ili uelewe,huu sio msaada,hata sisi kama nchi tukitaka kukopa tunapewa ila jembe letu JPM kakataa kukopa maana uzalishaji umeshuka anachowata hawa wa world bank wasitishe kwanza marejesho ya mikopo wanayotudai ili pesa hii itumike kupambana na athari za covid na sio kukopa wakati hakuna uzalishaji kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona nchi masikini zinasaidiwa baada ya kupata mtikisiko wa uchumi...ni wakati sasa wa nchi tajiri kama Tanzania kuanza kusaidia majirani masikini kama Kenya, Uganda nk..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi mzima ..90% hawana uelewa...10% wana akili...

Siku zote ngoz nyeus huwa inaamin wao ni wa kusaidiwa tuu..
Tusiwe kama sungura, sitaki hizi mbichi.

Mbona tulipo pewa mkopo mwanzoni mwa mwaka huu mliishia kusema tumepewa mkopo kwa sababu tuna uwezo wa kulipa?

Leo tumenyimwa mnasema hatutaki kusaidiwa!

Huu sio ujinga kweli?
 
Mkuu It is a
Loan(mkopo) and not grant,soma tena ili uelewe,huu sio msaada,hata sisi kama nchi tukitaka kukopa tunapewa ila jembe letu JPM kakataa kukopa maana uzalishaji umeshuka anachowata hawa wa world bank wasitishe kwanza marejesho ya mikopo wanayotudai ili pesa hii itumike kupambana na athari za covid na sio kukopa wakati hakuna uzalishaji kwa sasa
Kwakweli mzee mseven pamoja na mapungufu yake umeeonesha uelewa wa juu kupambana corona. Huyu ni mwanajeshi amemfunikaa mtu anayejiita mkemia maana mambo anayoyafanya yanashangaza kwa elimu yake.

Kila mtu anaimba wimbo wake mbaya zaid mpaka Bunge ambalo ndio kimbilio la wananchi namgeuzageuza speaker atakavyo na lenyew kwa sbb ya madaraka limekua ka zombie halina msaada wowote zaid ya kutangaza posho za wapinzani hadharani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa IMF ndo wametengeneza corona ili tujifungue watukopeshe pesa, ni wajinga sana!😂
Ndio maana hawana ha.u na jembe letu LA kazi Dr. Magufuli!! Walikuwa wanatuchezea kete ya lockdown kumbe mawazo yao ili uchumi ushuke waingie kingi kwa kutupa mkopo wa Dharula! Na ujue mkopo wa Dharula riba yake ni kubwa! Wawapata hao hao wasiojua kulicheza draft na mabeberu!
 
Mkuu It is a
Loan(mkopo) and not grant,soma tena ili uelewe,huu sio msaada,hata sisi kama nchi tukitaka kukopa tunapewa ila jembe letu JPM kakataa kukopa maana uzalishaji umeshuka anachowata hawa wa world bank wasitishe kwanza marejesho ya mikopo wanayotudai ili pesa hii itumike kupambana na athari za covid na sio kukopa wakati hakuna uzalishaji kwa sasa
Kuna watu watasema hatuzitak mbichi hizi!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu It is a
Loan and not grant,soma tena ili uelewe,huu sio msaada,hata sisi kama nchi tukitaka kukopa tunapewa ila jembe letu JPM kakataa kukopa maana uzalishaji umeshuka anachowata hawa wa world bank wasitishe kwanza marejesho ya mikopo wanayotudai ili pesa hii itumike kupambana na athari za covid na sio kukopa wakati hakuna uzalishaji kwa sasa
Siyo mikopo huyo ni msaada hazirudishwi mkopo una riba na lazima uzirudishe sisi hatujaonesha jitihada zote zote zilizonesha kuwa tumepatwa na janga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usione wanapiga kelele na kujiona wa matawi, deni la nje la Kenya mpaka December mwaka jana lilikuwa USD 49billion of which USD 5.3billion belongs to China.
Up to February 2020 deni letu la nje ni USD 22billion
 
Kenya wana Hali mbaya sana,wakigeuka uku corona,wakigeuka kwingine kuna njaa Kali,wakigeuka kwingine nzige wanamaliza mazao,Mungu atunusuru sote
 
Mkuu unafurahisha sana ,eti magufuli anajua kabisa kwa sasa hakooesheki,uko makini kweli au unafurahisha jukwaa?

Magufuli hataki mikopo kwa sasa ila anataka IMF NA WB wasitishe kwa muda marejesho ya mikopo wanayotudai ili pesa hizo za marejesho ndo zitumike kupambana na athari za covid 19
Toka lini IMF wakatoa grants?

Siku zote world bank and IMF wanatoa Loan, maana ni taasisi za pesa zenye kufanya kazi zake kibenki zikipata faida kupitia riba. Tofauti ya hizi taasisi (IMF na World bank) na benki zingine za kibiashara iko kwenye riba na masharti. IMF na World bank wanakukopesha kwa riba nafuu na utalipa taratibu kwa muda mrefu lakini masharti yao ni mazito.

Wanaweza kukusamehe sehemu fulani ya deni wakiona huwezi kulilipa kwa wakati ili waweze kukukopesha tena.

Magufuli anajua kabisa kwa sasa hawezi kukopesheka kirahisi maana ana madeni makubwa, mwenendo wa kulipa unasusua na masharti ya kuweza kukopesheka hayawezi kuyatimiza ipasavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu It is a
Loan and not grant,soma tena ili uelewe,huu sio msaada,hata sisi kama nchi tukitaka kukopa tunapewa ila jembe letu JPM kakataa kukopa maana uzalishaji umeshuka anachowata hawa wa world bank wasitishe kwanza marejesho ya mikopo wanayotudai ili pesa hii itumike kupambana na athari za covid na sio kukopa wakati hakuna uzalishaji kwa sasa
Naona IMF wanatoa vitita kwa nchi za Kenya na Uganda, Mahususi kwa ajili ya janga la Corona.

Mbona sisi jamuhuri ya muungano wa Tanzania hatupewi?

View attachment 1442411

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya wana Hali mbaya sana,wakigeuka uku corona,wakigeuka kwingine kuna njaa Kali,wakigeuka kwingine nzige wanamaliza mazao,Mungu atunusuru sote

wakigeuka huku mchina anataka kuchukua bandari ya Mombasa kwa sababu wameshindwa kurejesha mkopo wa Exim
 
Mkuu It is a
Loan and not grant,soma tena ili uelewe,huu sio msaada,hata sisi kama nchi tukitaka kukopa tunapewa ila jembe letu JPM kakataa kukopa maana uzalishaji umeshuka anachowata hawa wa world bank wasitishe kwanza marejesho ya mikopo wanayotudai ili pesa hii itumike kupambana na athari za covid na sio kukopa wakati hakuna uzalishaji kwa sasa
Sasa sisi kila wakati tunawaita makaburu, mabeberu na nini sijui !!.

Uongozi wa ki communist hautufikishi popote. Ni majigambo yasiyo ya msingi.

Odhis *

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The two countries will receive funds under the Rapid Credit Facility, which is aimed at the world's poorest nations and has been doubled in size to quickly dispense aid.

Nimeona hii tu 😁😁😁😁 keywords:
Aimed
World's
Poorest
Kenya
Nations

Hii yafaa kule kwenye ulingo wa wabongo na wakenya hii ni silaha 😁😁
 
Mkuu hakuna wa kuinyima nchi yoyote kukopa IMF na WB maana hiyo nchi yetu inakidhi vigezo vya kukopa ila kama nchi hatuwezi kukopa kwa sasa

Kumbuka hawa Kenya na Uganda kwa sasa khali zao ni mbaya sana wanapumlia mirija,wametoka kujilock sasa hawana pa kushika kwahiyo suruhu kwao ni kukopa, mbona pesa yenyewe ni ndogo sana it's about trillion moja kwa kila nchi .
Acha kutetea ujinga bado tunahitaji misaada tena mingi,.

Sema mmenyimwa kwa ujeuri wenu, Yaani mwatukane then wawape masaada.. Mtakula Jeuri yenu..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom