Shirika la haki za binadamu (HRw) laomba picha za 29 October ili kukusanya ushahidi wa kupelekea ICC

Shirika la haki za binadamu (HRw) laomba picha za 29 October ili kukusanya ushahidi wa kupelekea ICC

Ujumbe unajieleza,Samia Hana pa kutokea, ICC inanukia, mungu tenda miujuza mtesi wetu akinywee kikombe cha mateso


Wenye video wazitume sasa kupitia hii link MASV Portals
wacheki na muandisha habari wa mchongo wa cnn au mwanaharaki uchwara m.sarung. pale Nairobi 🐒
 
Hata trailer haijaanza
Ila kweli huwezi kuua watu wote ukafikili mambo yataisha ila huyu mama ni kama hamnaxo kabisa,maraisi wengine wakiua huwa wanakimbia nchi asa huyu amegang,ana hata nasindwa kuelewa kabisa
 
Back
Top Bottom