digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Hata trailer haijaanzaHii muvi kumbe bado inaendelea
wacheki na muandisha habari wa mchongo wa cnn au mwanaharaki uchwara m.sarung. pale Nairobi 🐒Ujumbe unajieleza,Samia Hana pa kutokea, ICC inanukia, mungu tenda miujuza mtesi wetu akinywee kikombe cha mateso
Wenye video wazitume sasa kupitia hii link MASV Portals
Ila kweli huwezi kuua watu wote ukafikili mambo yataisha ila huyu mama ni kama hamnaxo kabisa,maraisi wengine wakiua huwa wanakimbia nchi asa huyu amegang,ana hata nasindwa kuelewa kabisaHata trailer haijaanza