Shirika la kijasusi la Urusi, FSB limesema Warusi walio ondoka Urusi watimia milioni 4 ndani ya muda mfupi - hakukaliki

Sasa waache Hawa WARUSI wa Buza waendelee kumpamba Putin,wenye kumjua in&out ndio wameshajiondoa huko🤔
 
Sasa papa ana nini cha maana yeye afunge na kuomba asijiingize kwenye siasa
Siasa mbovu wanaoumia ni watu na kwa hali hiyo kiongozi yeyote wa kidini kunyamaza ni unafiki, ndio maana Askofu Janan Luwum alimshutumu Amin Dada kwa utawala wa kiimla kabla ya Amin kumuua.
 
Urusi ubakie kufanya nini wakati makampuni yameshaondoka kwa vikwazo.
 
Nchi ya kijasusi hiyo.. Miongoni mwao wengi Wana kazi maalum. Angalia tuu Aina ya nchi walizoenda.. Wanaji associate nao na kupata sympathy ya kutosha baadaye Dunia ikichafuka ndio utajua Hilo ni jeshi mlilolikaribisha. Watu wanafikiri na ku predict yajayo usidhani kila linalotokea ni kwa bahati mbaya. Narudia chunguza vizuri hizo nchi walizoenda in relation to source ya mgogoro huu since... 1990's.
 
Tangu Putin akatae kuonana na Pope Francis nimemuona Mjinga sana
jiangalie wewe, hivi wajinga si ni sisi huku tunao shangilia covid 19 wale fedha za umma, tunaotumia mabilini ya umma kwa kubambika wapinzani kesi
 
Hizi ndio habari natamani tu kuzisikia hapa jf
 
Hawa ndio wajinga wanapandikizwa na EU na kupewa mahela ya kutosha na hifadhi, kwani vita imeanza leo? kwanini hakujiuzulu mwanzoni?
Mkuu yapaswa ufahamu wazungu sio waswahili wa pale Tandale kwa mtogole., tokea anajuzulu hiyo nafasi tayari ameshasamehe kila kitu na kuuona ubinadamu, kama shida ni hela kwanini asingengangania hiyo ajira yake? wewe wa tandale utangangania hela kwa sababu ya njaa
 

Mjilishe upepo ila kimsingi watu wanaikimbia Urusi.... Miji imekua kama ghost cities, biashara haziendi.
 
Vita imeanza jana? siku zote hakuona hayo madhara? jibu swali usijifanye we ni wa NY
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu atakubaliana na huu upuuzi wa Putin,nimeona na clip moja CNN kwa kipindi cha Don Lemon Warussi wako uwanjani wanashout kupinga vita na walikuwa ni wengi sana
Nakazia "hakuna mwenye akili timamu akakubaliana na upuuzi wa Putin" over
 
Vita imeanza jana? siku zote hakuona hayo madhara? jibu swali usijifanye we ni wa NY
We ni maamuzi mangapi unafanya ukiwa umechelewa? Na kuanza kutumia neno ungejua

We unajua hatua alizokuwa anazifata!

Basi hapo umejiona umeuliza swali gumu[emoji3]
 
We ni maamuzi mangapi unafanya ukiwa umechelewa? Na kuanza kutumia neno ungejua

We unajua hatua alizokuwa anazifata!

Basi hapo umejiona umeuliza swali gumu[emoji3]
Anabadilisha nini kwa kujiuzuru kwake, au kuna athari gani kwa utawala wa Putin, Mbona kuna mameya kama watano wamejiuzuru mwanzoni mwa hili sakata na operasheni inaendelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…