peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Tangu awamu ya 6 imeanza Waarabu wanaitafuta Tanganyika kwa kila hali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wapewe wabongo ni wizi na upigaji
Huko Dubai uislamu huo unaoufikiria upo?Wana lengo la kueneza Uislamu. Hiyo ndiyo ajenda kuu nyuma ya hiki kinachodaiwa Uwekezaji.
Kama ni hivyo basi ni vyena sana kuliko wale wanaokuja kutuibia na kutulazimishia ushoga.Wana lengo la kueneza Uislamu. Hiyo ndiyo ajenda kuu nyuma ya hiki kinachodaiwa Uwekezaji.
Inawezekana ndio ile mikataba mingine 16 tuliyoambiwa wameingia, hapa napo terms zake lazima ziwe za hovyo tu.Kweli kokoro la mvuvi wa Dubai mwezi February 2022 lilivua mengi katika nyavu zake
Waarabu watu safi sana acha tushirikiane nao. Wana utu sana kuliko wazungu wanao preassurize ushoga. Acha twende na arabs.Tangu awamu ya 6 imeanza Waarabu wanaitafuta Tanganyika kwa kila hali.
Tupate katiba mpya bora na tume huru ya uchaguzi Hangaya hatoboi 2025Tumefikishwa hapa na Hangaya the chief
Na wanamiminika Kwa kasi.Tangu awamu ya 6 imeanza Waarabu wanaitafuta Tanganyika kwa kila hali.
Hawa warabu kama ccm mnawapenda sana wapeni mali zenu,ccm inamiliki mali nyingi Sana tangu chama kimoja hadi leo kwanini mspatie mwarabu hizo mali na vitega uchumi vyenu mkaachana na mali zetu?Tangu awamu ya 6 imeanza Waarabu wanaitafuta Tanganyika kwa kila hali.