mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Posta wanafanya kazi kizamani,kizembe,kimazoeaNilienda posta mpya kununua sanduku kwa ajili ya kampuni yangu,nilipofika sehemu husika nilikuta mzee mmoja na vijana wawili,nilisalimia nikaketi bila kukatibishwa,nilikua dk 15 bila kuulizwa chochote,niliamua kuondoka,nikaenda kununua sanduku posta ya chang'ombe temeke,Wacha wauzwe tu
Ova