WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Hata Wazungu walipingwa sana kipindi cha Magufuri.Mbona hii issue mnaichukulia sana kidini, wazungu tumeingia nao mikata mingapi??? Tena mibovu, Nana ashawahi kutoka na Ku claim lengo ni kueneza kitu flani au dini flani??
Au waarabu hawana kuwekeza Tanzania??
Acheni double standards!
Na ukichunguza kwa umakini utagundua sio kinachopingwa na uwekezaji Bali ni uarabu unaonasibishwa na uislaam, u
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app