Shirika la Posta kushirikiana na Posta ya Falme za Kiarabu

Kweli kokoro la mvuvi wa Dubai mwezi February 2022 lilivua mengi katika nyavu zake
Inawezekana ndio ile mikataba mingine 16 tuliyoambiwa wameingia, hapa napo terms zake lazima ziwe za hovyo tu.

Maana kila nikirudia kuzisoma zile terms za kwenye ule mkataba wa hovyo wa bandari, naona ni kama vile walioandika walikuwa wameleweshwa na mvinyo kwa kiarabu, walijipendekeza sana kwa mwarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…