Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
- Thread starter
-
- #61
Kuna watu wanachukulia poa haya mambo lakini siyo poa.RAC L300 GR Sport mzee moja nilipishana nayo sheemu ipo kibatiii...
Kama Akili yako ndogo kujadiri mambo makubwa lala Mzee au tafuta stori za Simba na yanga ukajadiri huko.Tafuta kazi ya kufanya hayo mambo ya kuteseka na number plates mjini utakuja kugongwa na bodaboda pumbavu sana wewe.
Wao ni kina nani ?Na wao wanaongoza pesa nyingi sana serikalini kupitia kodi.Kila tiketi mtu anakata mna kodi ya Serikali
Mleta mada mashikirika kama TRC Serikali inavuna kodi hasa
Mleta mada una ufinyu wa uelewa
Haina shida.Unanizidi ufupi na umaskini tu basi
Kwa Akili yako mtu ukimzidi kimo unakuwa umepiga gape Gani la huminitism?Unanizidi ufupi na umaskini tu basi
KujadiriΓβ’β’β’β’kujadiliβKama Akili yako ndogo kujadiri mambo makubwa lala Mzee au tafuta stori za Simba na yanga ukajadiri huko.
Kaa Kwa kutulia.KujadiriΓβ’β’β’β’kujadiliβ
Kajifunze kwanza kiswahili msomi uchwara
Reli Mwendo kasi wanayojenga maporini huko unataka waende na Magari ya Toyota vitz? Au kirikuu? Au Bajaj?Wao ni kina nani ?
Shirika la Umma lipo pale kufanya service na sio kufuja hata zikipatikana / wakikusanya peza za kumwaga inabidi ziende kusaidia UMMA, ni mangapi wanaweza kuboresha ? au kila kitu kipo perfect in terms of service ?!!
Hii ndo nini sasa .unajiaibisha tuhuminitism?
Humanism I mean.Hii ndo nini sasa .unajiaibisha tu
Pumbavu zako Tena,sema Asante kakaHumanism I mean.
Una matatizo siyo Bure. Ila yote heri.Pumbavu zako Tena,sema Asante kaka
ππ Mzee wale jamaa Wana magari makali aisee,Hata site na Kwny ma-bar nakutana Sana na vijana wao.RAC L300 GR Sport mzee moja nilipishana nayo sheemu ipo kibatiii...
Itakuwa mwenye kitengo cha magari pale TRC ni chizi magari ππππ Mzee wale jamaa Wana magari makali aisee,Hata site na Kwny ma-bar nakutana Sana na vijana wao.
Afu new model hizi LC300 hata sio nzuri kama LC 200Kuna series 300 Hapo lc 300 milioni 545 anatumia sijui meneja
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Jibu zuri sana nadhani mtoa mada kaliona The lostNa wao wanaongoza pesa nyingi sana serikalini kupitia kodi.Kila tiketi mtu anakata mna kodi ya Serikali
Mleta mada mashikirika kama TRC Serikali inavuna kodi hasa
Mleta mada una ufinyu wa uelewa