Shirika la Reli Tanzania wamepata wapi pesa za kununua Magari ya kifahari ilhali hawaliingizii taifa faida yoyote zaidi ya kutoa huduma?

Shirika la Reli Tanzania wamepata wapi pesa za kununua Magari ya kifahari ilhali hawaliingizii taifa faida yoyote zaidi ya kutoa huduma?

Na wao wanaongoza pesa nyingi sana serikalini kupitia kodi.Kila tiketi mtu anakata mna kodi ya Serikali

Mleta mada mashikirika kama TRC Serikali inavuna kodi hasa
Mleta mada una ufinyu wa uelewa
Wao ni kina nani ?

Shirika la Umma lipo pale kufanya service na sio kufuja hata zikipatikana / wakikusanya peza za kumwaga inabidi ziende kusaidia UMMA, ni mangapi wanaweza kuboresha ? au kila kitu kipo perfect in terms of service ?!!
 
Reli Mwendo kasi wanayojenga maporini huko unataka waende na Magari ya Toyota vitz? Au kirikuu? Au Bajaj?
Au bodaboda kusimamia na kukagua progress?

Reli ikiwa na shida mahali unataka wafike haraka kwa kutumia baiskeli au? Hoja yako Haina maana
 
Hili shirika lilikuwa kama limekufa, ila kutokana na miradi ya sasa, shirika limefufuka na huitaji wa vitu vipya kama magari ukaonekana.

Kuhusu, ni aina gani ya gari wanunue; hii inatokana na bajeti waliyonayo pamoja na uvumilivu wa mtumiaji anapokuwa barabarani kwa chombo husika.​
 
Hilo shirika ni sehemu ya kupigia pesa tu ukiangalia hizo reli sehemu zingine unaona kabisa usalama wa kupita treni hapa ni mdogo sana sema imewakuta watu wasiojali maisha ya wasafiri wacha waboreshe usafiri wao badala ya kuboresha mradi wa Serikali...
 
Kuna series 300 Hapo lc 300 milioni 545 anatumia sijui meneja

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Afu new model hizi LC300 hata sio nzuri kama LC 200
Wanapoteza tu hela

1663948424026.jpeg

1663948600172.jpeg
 
Yaani baada ya kusema Mungu kaamua ugomvi nilidhani now ni muda wa kushangilia kila linalotokea but sioni badiriko the same template.
 
Jee hadhi ya hayo magari ya hao viongozi wa TRL /TRC yana reflect ubora na unadhifu wa mabehewa yanayotoa huduma ? Niliyaona mabehewa ya kwenda Moshi Arusha , nilichoka !
 
Back
Top Bottom