rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Katiba inatamka kuwa Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika.Kitu kuifanya mkoa hamusubutu hata muungane na babu zenu sisi hatutaki hasa kuungana na nyinyi lkn nyinyi munasema mutaulinda mungano huu mpaka tone la mwisho la damu jiulize kuna nini mpaka mukaiparatia Zanzibar vote hivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa, unataka damu imwagike eeh?Mapendekezo ni kuifanya Zanzibar kuwa mikoa miwili. Mkoa wa Unguja na mkoa wa Pemba. Hii itawakata kilimilimi na kibri chote.
Kweli kabisa.Gharama ya kuhitaji kitu.. Tanganyika tunahiitaji Zanzibar kuliko Zanzibar inavyotuhitaji.. Muungano tunautaka sisi.. wa zanzibar hawautaki
Wawakatie umeme tu hakuna namnaShirika la umeme la Zanzibar limekiri kudaiwa na shirika la umeme TANESCO deni la shilingi bilioni kumi lakini limesema halitalipa bali deni hilo litalipwa na Serikali ya muungano.
Limesema Serikali ya muungano inadaiwa na Serikali ya Zanzibar kwa hiyo watakatana hukohuko.
Kwanza haijulikani ni deni gani ambalo Serikali ya muungano inadaiwa na Zanzibar. Pili kwa muda mrefu inasemekana Zanzibar imekuwa haichangii gharama za kuendesha Serikali ya muuungano. Tatu kama kweli Serikali ya muungano inadaiwa na Zanzibar ni vema ikaweka hadharani deni hilo.
Watanzania bara tumekuwa tukipandishiwa umeme huku upande wa pili hawalipi hapo ndio utaona umuhimu wa serikali tatu.
Chanzo: Habari ya ITV
Mbona kama wewe ndio UMESHUPAZA SHINGO wao wamesema tu kwa upole hawalipi mtalipana huko huko. Kama muna uwezo wa kuifanya Zanzibar kuwa mkoa si muzime umeme kwanza, munakwama wapi? Zimeni tu tutatumia vibatali na kandili in Dr Sheni's voice. Hata CCM pia huko Zanzibar washachoka wanatafuta sababu tu hili dude livunjike.Hili koloni letu la Zanzibar limeendekezwa sana. Muda wa kuifuta serikali inayojiita ya mapinduzi umepita.
Tumewalea malezi ya kijinga mpaka wamekuwa kama toto la mama. Kila siku kuloloma, kulialia na kulalamika.
Watanganyika ifike wakati tuifute SMZ for good.
Ni wazi kuwa wanajiona kama nchi na ndicho kinawapa KIBRI NA KUSHUPAZA SHINGO hawa wajinga wajinga.
Mapendekezo ni kuifanya Zanzibar kuwa mikoa miwili. Mkoa wa Unguja na mkoa wa Pemba. Hii itawakata kilimilimi na kibri chote.
Thanks God umesema ukiwa raisi...future impossible tense. Kinachosubiriwa Zanzibar ni umoja wa kitaifa tu harakati zianze. Bado wazee na wanasiasa wanaendeleza mapambano ya kuwaleta Wazanzibar kuwa kitu kimoja ila hadi sasa hilo halijafanikiwa kutokana na Watanganyika kuendelea kupandikiza chuki ya udini na ukabila kupitia siasa. Ila bado harakati za kuwashawishi wahafidhina kueka mbele maslahi ya Zanzibar yanaendelea.Katiba inatamka kuwa Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika.
Nikiwa Rais nitaibadili isomeke "Zanzibar na Pemba ni mikoa ya Tanganyika."
Kama ni urojo mtaruhusiwa kupika hizo rojo mahali popote. Lakini nchi hakika hamtapewa hata kwa dawa.
Asilimia 11 ya nini? Na kwa nini mpewe asilimia 11 ya chochote wakati uwiano wa idadi ya watu kati ya Zanzibar na Bara ni mdogo mno chini ya asilimia 3?Unataka kujua mahesabu ya serikali ya muungano? Unasema Zanzibar haichangii, sasa nikuulize Tanganyika inachangia wapi? Ninayo iyona mie ni serikali ya muungano na kuna serikali ya Zanzibar.
Halafu ipo sheria ambayo imetoa mamlaka serikali ya muungano kufungua account ya pamoja ili mapato yote ya muungano yaingie huko. Leo ni zaidi ya mwaka wa kumi hakuna account.
Tatu, katika bank kuu ya Tanzania,bot, Zanzibar inatakiwa ipatiwe asilimia 11 , hivi serikali ya muungano inaipa Zanzibar 4.5 , suali, kwa kipindi gani Zanzibar haijapokea hio fedha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuwa mikoa miwili,mapato yote yanayokusanywa yanaletwa hazina kuu Dodoma,tunafuta viwilaya vyote,Unguja na Pemba inakuwa mikoa tu kama Kigoma,Hili koloni letu la Zanzibar limeendekezwa sana. Muda wa kuifuta serikali inayojiita ya mapinduzi umepita.
Tumewalea malezi ya kijinga mpaka wamekuwa kama toto la mama. Kila siku kuloloma, kulialia na kulalamika.
Watanganyika ifike wakati tuifute SMZ for good.
Ni wazi kuwa wanajiona kama nchi na ndicho kinawapa KIBRI NA KUSHUPAZA SHINGO hawa wajinga wajinga.
Mapendekezo ni kuifanya Zanzibar kuwa mikoa miwili. Mkoa wa Unguja na mkoa wa Pemba. Hii itawakata kilimilimi na kibri chote.
Imefikia hali ambayo Wazanzibar wanawachukia Watanganyika sio kwamba ni wabaya wa matendo ila ni hii sababu ya Muungano. Leo Mtanganyika wa kawaida ambae hana hatia yoyote anachukiwa Zanzibar kama maradhi ya Corona. Lakini tambueni hamchukiwi kutokana na tabia zenu au eneo mnalotoka bali sababu kubwa ni hili la kuitawala Zanzibar. Madhila wanayopitia Wazanzibar kutokana na kubanwa katika kila sector na huu Muungano ndio sababu kuu ya Mtanganyika kuonekana kama mkoma anapokanyaga tu ardhi ya Zanzibar. Hebu tuvunjeni huu Muungano wa kinafiki ili tuendelee kuishi kwa kupendana, tuweze kuoana na kujaamiana vyema.Gharama ya kuhitaji kitu.. Tanganyika tunahiitaji Zanzibar kuliko Zanzibar inavyotuhitaji.. Muungano tunautaka sisi.. wa zanzibar hawautaki
Basi mkuu hamna tabu tutajifidia tu huku kwenye umeme.Asilimia 11 ya nini? Na kwa nini mpewe asilimia 11 ya chochote wakati uwiano wa idadi ya watu kati ya Zanzibar na Bara ni mdogo mno chini ya asilimia 3?
Wangekuwa hawauhitaji,wasingekuwa wanakimbizana Dodoma,kununua viwanja na kuanzisha makazi,Gharama ya kuhitaji kitu.. Tanganyika tunahiitaji Zanzibar kuliko Zanzibar inavyotuhitaji.. Muungano tunautaka sisi.. wa zanzibar hawautaki
Alishindwa Nyenyere.Inakuwa mikoa miwili,mapato yote yanayokusanywa yanaletwa hazina kuu Dodoma,tunafuta viwilaya vyote,Unguja na Pemba inakuwa mikoa tu kama Kigoma,
Sent using Jamii Forums mobile app