Umeme rea ni pesa za wananchi Kuna Makato kwenye luku, maji na mafuta yanaenda reaKwani Zanzibar hakuna LUKU, nadhani wazanzibar wanalipia Umeme kwenye shirika lao, ila shirika ndio halilipi Tanesco, wanatumia kwa shughuli nyingine za maendeleo, kuwalaumu wananchi ni kosa,
Ni kama bara tunavyoipongeza serikali kwa Umeme wa REA wakati ni pesa za " Obama power for Africa", ukifuatilia miradi mingi ni misaada toka serikali flani lakini hatuna shukrani, ila tunataka Zanzibar watushukuru, unafiki Mkubwa.