Shirika la umeme Zanzibar lagoma kuilipa TANESCO

Shirika la umeme Zanzibar lagoma kuilipa TANESCO

Nimepiga hesabu, naona kama huku ndo bei zaidi au tuko sawa.

1% Ewura, 3% Rea na 18% Vat. Inabaki 7,800 kwenye 10,000. Unapata around 28. Nafikiri ni sawa. Maana tulikuwa tunapata around 58 kwa 20,000/=.
Huku napata around 33 bro. Next time ntakuwekea
 
Attachments

  • 20200315_164430.jpg
    20200315_164430.jpg
    127.2 KB · Views: 9
Katiba inatamka kuwa Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika.

Nikiwa Rais nitaibadili isomeke "Zanzibar na Pemba ni mikoa ya Tanganyika."

Kama ni urojo mtaruhusiwa kupika hizo rojo mahali popote. Lakini nchi hakika hamtapewa hata kwa dawa.
Eti Zanzibar na Pemba, hujui Zanzibar ni nini na PBA ni nini. Bogus kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kama wewe ndio UMESHUPAZA SHINGO wao wamesema tu kwa upole hawalipi mtalipana huko huko. Kama muna uwezo wa kuifanya Zanzibar kuwa mkoa si muzime umeme kwanza, munakwama wapi? Zimeni tu tutatumia vibatali na kandili in Dr Sheni's voice. Hata CCM pia huko Zanzibar washachoka wanatafuta sababu tu hili dude livunjike.
Vibaraka watawala wenu huko Zanzibar wanajua wanalindwa na wapo madarakani kwa nguvu ya bara. Ukiondoa bara mtakabidhiwa kwa machotara wanaomuunga mkono Sultani.
 
Hatung'oi nyaya abadan, mnakataa kutulipa tunayowadai sasa na Sisi tutautumia umeme kinguvu. Kama kweli mnajifanya vichwa maji hebu kateni umeme muone tutakachowafanya
Unamkumbuka yule mtu aliye lia mbele ya TV ''Tutawasha vibatari'' teh teh .
Mnatumia kwa nguvu kwa fedheha. Kuanzia BLW hadi mkiwa na wake zenu mnalipiwa bill na raia wa Mbagala.

Hii ni fedheha, acheni kuongelea aibu hii

Watoto wenu wanasomeshwa bure
Mishahara inatoka hazina-bure
Hamjui bajeti ya ulinzi, mambo ya ndani au nje au muungano
Wabunge wenu wanakuja Dodoma bure
Kazi za watu wenu mnapata bure
Bajeti yenu inalipiwa ruzuku na mtu wa Mkuranga-Bure
Umeme mnalipiwa bure mkiwa na wake zenu! shame on you. Hii ni fedheha

TBL wanalipa kodi na kuchangia mapato. Kariakoo wanalipa kodi na kuchangia mapato.

Ninyi SMZ manatumia umeme kustarehe na wake zenu kisha bill mnampelekea raia wa mlandizi. shame on you

Toeni nyaya za umeme mulete meli za Oman , tumechoka ipo siku mtaleta bill za mahari zenu za kuoa , msivyo na aibu viumbe ninyi
 
Wasamehe mkuu
 
Historia inaonesha toka enzi mwarabu mkoloni wa visiwa vya Zanzibar alikuwa na mkataba na mwingereza ili kulindwa. mambo yaliendesha kama yalivyo sasa.
 
Mzee wa Tanganyika aliropokaga eti wakate umeme alinuniwa na mzee wa Zenji akaufyata!! Tukiwaudhi tuu watadai kujitoa muunganoni na huyo rais ataingia kwenye historia mbaya sana ya kuuvunja muungano waainayake Afrika
 
Mzee wa Tnyika aliropokaga eti wakate umeme alinuniwa na mzee wa Zenji akaufyata!! Tukiwaudhi tuu watadai kujitoa muunganoni na hugo rais ataingia kwenye historia mbaya sana ya kuuvunja muungano waainayake Afrika
Wa zenji washaongea,umeme hawalipi na watanganyika wakiukata ndo na muungano umeisha.

Sent using tecno tochi
 
Wa zenji washaongea,umeme hawalipi na watanganyika wakiukata ndo na muungano umeisha.
Unajua madhara ya kulipiwa umeme! Salimin Komandoo alisema atakwenda Dodoma atarudi Zanzibar na ASP kama matakwa yake hayatatekelezwa. Alipotoka kwenye mkutano kila kitu kilikuwa upside down hata mbeba viatu.
Kuanzia hapo hatukumsikia tena hadi leo.
Umeme mtalipiwa, tutawaambia na hii si mara kwanza. mumesamehewa mara nyingi.

Wabunge tunawalipia kuja kuwakilisha Zanzibar. Wanafunzi tunawalipia wanasoma bure

Kuna msemo usemao, 'mwenye kisu ndiye anayekula nyama''

Halafu tutaita Halmashauri kuu Dodoma, tutatafuta mtu atakayehakikisha Wazanzibar wanapata umeme! unaelewa?

Umesahau yule jamaa aliyesema ''tutawasha vibatari' akitokwa na mchozi mbele ya TV
 
Asilimia 11 ya nini? Na kwa nini mpewe asilimia 11 ya chochote wakati uwiano wa idadi ya watu kati ya Zanzibar na Bara ni mdogo mno chini ya asilimia 3?
Umeongea vizuri jee umewahipo kumsikia mzanzibari mwenye akili timamu aliye balekhe na kusema nitaulinda mungano mpaka tone LA mwisho LA damu munao ngangania mungano ni nynyi wauza sumu ya panya kabla yakungana na Tanganyika Zanzibar ilikuwepo na ilikua ni nchi huru na ilikua inajiweza kila kitu nchi ya mwanzo afrika masharika kua na TV ya rangi ni Zanzibar nchi ya mwanzo kua na bandari huru ni Zanzibar nchi za Kongo msumbiji Burundi Rwanda na ikiwemo Tanganyika ilikua mukija mukinunua biashara Zanzibar zinazo toka ulaya na uwarabuni usiongee udogo wa watu watu wanataka hali nchi ya Brunei ambayo inawatu laki nane lkn ni nchi iliyo huru na inajiendesha kwa mambo yake mwenyewe na wana kila kitu ambacho nisawa na nchi zenye watu milioni 45

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangekuwa hawauhitaji,wasingekuwa wanakimbizana Dodoma,kununua viwanja na kuanzisha makazi,
Kuna sehemu inaitwa Oroa,Pongwe,mahoteli yote ya kitalii,yanapata mahitaji yao,ya vyakula kutok a bara

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kusema uongo mzanzibar atoke huku kwenye marashi ya karafuu aje ajengee Dodoma kwenye kabila kubwa duniani la omba omba na ardhi yenye mawe kama barabara inayowekewe vifusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamkumbuka yule mtu aliye lia mbele ya TV ''Tutawasha vibatari'' teh teh .
Mnatumia kwa nguvu kwa fedheha. Kuanzia BLW hadi mkiwa na wake zenu mnalipiwa bill na raia wa Mbagala.

Hii ni fedheha, acheni kuongelea aibu hii

Watoto wenu wanasomeshwa bure
Mishahara inatoka hazina-bure
Hamjui bajeti ya ulinzi, mambo ya ndani au nje au muungano
Wabunge wenu wanakuja Dodoma bure
Kazi za watu wenu mnapata bure
Bajeti yenu inalipiwa ruzuku na mtu wa Mkuranga-Bure
Umeme mnalipiwa bure mkiwa na wake zenu! shame on you. Hii ni fedheha

TBL wanalipa kodi na kuchangia mapato. Kariakoo wanalipa kodi na kuchangia mapato.

Ninyi SMZ manatumia umeme kustarehe na wake zenu kisha bill mnampelekea raia wa mlandizi. shame on you

Toeni nyaya za umeme mulete meli za Oman , tumechoka ipo siku mtaleta bill za mahari zenu za kuoa , msivyo na aibu viumbe ninyi
Aaaggghhhh nguruvi sasa hii ni mipasho tu kama ya kwenye taarabu and unfortunately ain't good on it.

We have said it na Sisi tutasimamia tulilosema, period!!!
 
Back
Top Bottom