Shirika la umeme Zanzibar lagoma kuilipa TANESCO

Shirika la umeme Zanzibar lagoma kuilipa TANESCO

Nimepiga hesabu, naona kama huku ndo bei zaidi au tuko sawa.

1% Ewura, 3% Rea na 18% Vat. Inabaki 7,800 kwenye 10,000. Unapata around 28. Nafikiri ni sawa. Maana tulikuwa tunapata around 58 kwa 20,000/=.
gharama za umeme kwa hesabu hizo itakuwa hatutofautiana sana

zanzibar
tsh 1000 = 3.1 units
 
Ni sawa, nimeona ni around sawa sawa. Sema mnazingua, eti kununua mpaka Zantel peke yake!

Nyie jamaa hamko fair
huenda ni uamuzi rasmi wa serikali, tutafanyaje na wenye mamlaka wameshaamua.
huduma nyingi za malipo ya mtandao zinaongozwa na zantel (nadhani serikali bado wana maslahi yao binafsi na mtandao)
 
Back
Top Bottom