Dawa ni serikali mojaKwa hili umekosea sana. Kama zanzibar inadeka sana dawa yake ni kuiwacha ijiendeshe kivyake. Muungano na watanganyika uvunjiliwe mbali then wazanzibari wote wakae gizani na kufa njaa. Mshaurini Meko avunje Muungano haraka ili wazanzibari wakione cha mtema kuni. (Au atleast tupatiwe fursa ya kupiga kura ya Maoni juu ya huu Muungano ambao Watanganyika wanahisi unawasaidia zaidi Wazanzibar kuliko wao.)
Account ya pamoja ya mapato (ya faida) ya nini wakati gharama za uendeshaji hawachangii chochote.....Na hata hiyo asilimia 4.5 hawastahili kabisaUnataka kujua mahesabu ya serikali ya muungano? Unasema Zanzibar haichangii, sasa nikuulize Tanganyika inachangia wapi? Ninayo iyona mie ni serikali ya muungano na kuna serikali ya Zanzibar.
Halafu ipo sheria ambayo imetoa mamlaka serikali ya muungano kufungua account ya pamoja ili mapato yote ya muungano yaingie huko. Leo ni zaidi ya mwaka wa kumi hakuna account.
Tatu, katika bank kuu ya Tanzania,bot, Zanzibar inatakiwa ipatiwe asilimia 11 , hivi serikali ya muungano inaipa Zanzibar 4.5 , suali, kwa kipindi gani Zanzibar haijapokea hio fedha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua tu utakuja hapa kutaka kuvunja ndoa.Nyinyi kila mwisho wa wiki mnakuja Zanzibar kuwafata mabasha wenu tunawajua mnawekwa Mahotelini wanaume wazima mnaondoka boti za jumapili saa kumi ww nina shaka ni miongoni mwa hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia weyee...!Wacha kihereher deni la Taifa si lenu wenyewe
ZANZIBAR ilikua mwanachama wa EAC mulioivunja watanganyika jee sehemu ya ZANZIBAR baada kuvunjika jumuia mbnona hamjatupa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh mikopo ya elimu ya juu bure? tena wengi kuliko watanganyika? are you serious? Kwanza tambua suala la elimu ya juu ni Muungano hivyo Wazanzibar wana haki ya kupata mikopo pia na wala sio ihsani au kuwa wanapewa bure ni mkopo. Mimi now nakatwa 15% of my salary, cjui unaposema bure unamaanisha nini. Ni kweli Zanzibar hawawezi kuhudumia jeshi la Tz sio siku tatu bali hata siku moja, kwanini iweze kuhudumia jeshi la Tz yote wakati sehemu yake ni ndogo tu. La muhimu ni kwamba Zanzibar ina uwezo wa kuhudumia jeshi lake lenyewe kama itajitenga coz itakuwa ni budget ndogo kulingana na ukubwa wa nchi. Na tambua hata baada ya Muungano Zanzibar ilikuwa na jeshi before merged. Mnakopa nyinyi kwa kivuli cha Muungano na kutekeleza miradi yenu mikubwa then why should Zanzibar bothers about the dept? Tunatoa taarifa kusudi kuwa hatutalipa umeme iki kufikisha habari ya kuwa Muungano hatuutakiiiii. Kama vipi kateni tu si mnao nyinyi huko.Miradi nayogharamiwa na JMT je.
Pili, hao Zanzibar wanadai misaada, hizi nifikra za kijinga sana. Hiyo misaada wanapewa sehemu yake.
Kwa mfano, bajeti ya SMZ inapata ruzuku ya JMT.
Pili, Wazanzibar hawajui malipo ya deni la taifa hata siku moja, na hutawasikia wakiongelea kulipa madeni utawasikia misaada
Tatu, gharama za JMT zinabebwa na Watanganyika hadi kuwalipia wabunge wao na mengine yasiyosemwa kwa stara
Nne, misaada gani mbona hamhoji watoto wenu kupewa ''mikopo'' ya elimu ya juu bure tena wengi kuliko wa SMZ?
Tano, mnachangia kiasi gani bajeti ya JMT?
Sita, hamna bajeti ya ulinzi, mambo ya ndani, nje n.k. Hiyo bajeti ya jeshi tiu hamuwezi hata kwa wiki 3
Saba, kila mwezi mnapata mgao wa benki kuu ambao kimsingi ni mapato ya Tanganyika.
Ngo'eni nyaya za umeme, tafuteni umeme wa upepo au meli.
Hizi habari za kuwabebesha raia wa Buguruni zigo la SMZ zifike mwisho.
Raia wa Mbagala analipa LUKU , SMZ haitaki kwasababu haitaki tu. Hii ni fedheha wala si aibu.
Raia wa Bunju anajua wajibu wake kwa familia yake kwa kulipa umeme, halafu anabebeshwa zigo la Zanzibar! Shame on you. Haya si mambo ya kuzungumzia Wazanzibar, yanawaacha ..ashakumu
Msisumbuke kutoa taarifa, acheni kununua umeme wa Tanesco, ugomvi hakuna
Zanzibar haina uwezo wa kukopa wala kupata ruzuku sehemu yoyote duniani bila kupata ridhaa ya JMT, tatizo kubwa katika hoja hii Watanganyika hamtaki kuidhinisha zinapotokea fursa tajwa hapo juu: fuatilia sakata la bandari ya mpiga duri ya Zanzibar, Uwanja mpya wa ndege wa Zanzibar kwanini hadi sasa naandika haujamaliza, bara bara ya mkoani pemba just to mention a few. Zanzibar pia inanyimwa haki ya kufanya biashara ndani ya Tanzania, ni kwanini sukari inayozalishwa Zanzibar izuiwe kuuzwa Tanganyika, kwanini kunakuwa na double tax kwa bidhaa iliopitia Zanzibar mfano unapoagiza gari kutoka Dubai ikashuka bandari ya Zanzibar na baada ya kulipa kodi zote chini ya TRA kwanini inabidi ulipe tena ushuru kama ule unapojaribu kuisafirisha hiyo gari to Dar why?? Mbona unaposhusha Dar na ukajaribu kuleta Zanzibar haulipii tax mara mbili why?? Yapo mengi mkuu hapo hatujaongea kuhusu Tanganyika inavyochagua Raisi wa Zanzibar kwa mtutu wa bunduki.Unadangaya mkuu, fafanua ni kwa namna gani wazanzibari wamebanwa na muungano, mbona hao wapemba ndio wamejaa huku bara wakifanya biashara zao??
Au wewe unatamaa tu ya madaraka hivyo unaona kama Muungano unakubana kudanganya wenzako??
Tatizo kubwa Watanganyika mna jeshi na silaha nzito so haiwezekani kuuvunja kwa nguvu for the time being. Inawezekana kabisa kuuvunja huu Muungano kwa njia za amani only and only if Wazanzibar watakuwa kitu kimoja, unfortunately kwa sasa Zanzibar imegawika pande mbili wenye nia ya dhati ya mabadiliko na wachumia tumbo. Wachumia tumbo wamepewa power na Watanganyika purposely kuendelea kuitawala Zanzibar, wameekwa madarakani kwa nguvu ya jeshi, they are puppet leaders na hao ndio wanaotuumiza. Ila kama tungekuwa na power flani ya kijeshi aaah mbona tungekuwa tumetangana kitambo otherwise daily ingekuwa tunazika maiti tusingekubali abadani.kama mmebanwa mnasubiri nini kuuvunja mpk mchukie watu wasokua na hatia? mnapambana na mashine kisa unyonyaji wa mwenye mashine?
Mkuu kwanini wewe huwa unapenda nchi hii ivurugike!!?Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Zanzibar
Jee unakijua chanzo cha huu muungano wetu adhimu?.ngusillo, Kitu kuifanya mkoa hamusubutu hata muungane na babu zenu sisi hatutaki hasa kuungana na nyinyi lkn nyinyi munasema mutaulinda mungano huu mpaka tone la mwisho la damu jiulize kuna nini mpaka mukaiparatia Zanzibar vote hivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtera iko Zanzibar? Halafu kila siku wanataka muungano ufe. Wana Resources za kujilinda?Kitu ambacho watu tunashindwa kufahamu ni kuwa kituo cha kufufua umeme cha bonde la Mtera ni mali ya SMZ. Ndio jeuri inatokana na ukweli huo.
Siku itakayokatwa umeme Zanzibar siku ya pili yake Muungano ni historia.
Yes nao Watarudi tena wanatosha boti moja. Kazi ipo kwa Wazanzibar maana nusu wamekimbia wapo bara na ndilo eneo pekee duniani lenye Wznz wengi.
Ondokeni tu kwa amani, wale watanganyika nao tutawaambia warudi nyumbani .