Jee unakijua chanzo cha huu muungano wetu adhimu?.
Kwa kukusaidia, aliyetaka muungano ni Karume tena ulikuwa uwe muungano wa nchi moja!. Nyerere ndiye alimkatalia.
Jee unaijua sababu ya muungano?.
Sababu ni Tanganyika kuipatia ulinzi. Baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya January 12, yalimg'oa Mwarabu na kuvirejesha visiwa hivyo kwa wenyewe Wamatumbi. Manowari ya Muingereza ilitia nanga bandari ya Mombasa, tayari kuivamia Zanzibar kuikomboa na kumrejesha Sultani aliyepinduliwa.
Ndipo Karume akaomba msaada wa ulinzi toka Tanganyika, the best way to do this ni kuungana fasta.
Tukakubali kuungana, tukaifuta utaifa wetu na kuusacrifice Tanganyika for Tanzania, hivyo muungano ukivunjika, Jamhuri ya watu wa Zanzibar inaweza kurejea, lakini Tanganyika haiwezi, ilikufa tukaizika, ndio maana tutaulinda muungano kwa gharama yoyote.
P