Shirika la umeme Zanzibar lagoma kuilipa TANESCO

Shirika la umeme Zanzibar lagoma kuilipa TANESCO

Mwambieni John kuwa Zanzibar haina faida kwa Tanganyika, kila kitu inategemea JMT kwaiyo aifanye Mkoa, Wilaya ya Unguja na Wilaya ya Pemba, Mkoa utaitwa Mkoa wa Zanzibar. Wazanzibari watafurahi sana maana wale vibaraka wenu mlio wapa vyeo vya Urais, uwaziri na uwakilishi na wengine mkawaita wakuu wa mikoa na wilaya ndio watajifahamu kuwa wao ni Mabalozi wa Serikali ya kitanganyika na tayari wamepokonywa vyeo vyao kwa sababu ya kuimarisha mamlaka ya Tanganyika katika Zanzibar.

Mwambieni asichelewe maana Wazanzibari hawapendi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, karibia 90% ya watendaji wa SMZ hawapendezwi na hali inavyokwenda, kwaiyo ikifutwa SMZ na vile vibosi vyote vinavyotumika kama viroboti kudumisha maslahi ya Tanganyika kupitia CCM navyo vitafahamu nafasi zao.

Mwambieni Atangaze na kukataa Muungano WAZANZJBARI WAFE NJAAA, maana hawana hata kilimo cha rangi ya chai na watakosa kula mbatata na nyanya.

Mwambieni auvunje SMZ ina itia hasara sana SMT. na aanza kwa kuzima umeme kwanza maana sababubanayo.
ZIMENI UMEME WAZANZIBARI WAFE GIZA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hili umekosea sana. Kama zanzibar inadeka sana dawa yake ni kuiwacha ijiendeshe kivyake. Muungano na watanganyika uvunjiliwe mbali then wazanzibari wote wakae gizani na kufa njaa. Mshaurini Meko avunje Muungano haraka ili wazanzibari wakione cha mtema kuni. (Au atleast tupatiwe fursa ya kupiga kura ya Maoni juu ya huu Muungano ambao Watanganyika wanahisi unawasaidia zaidi Wazanzibar kuliko wao.)
Hiki hakiwezekani,
Hii ni nchi moja,uwezi kuwapa raia,eti wapige kura kuvunja nchi,
Kama ilivyo hongkong/Taiwan kwa China,ndio zenj ilivyo kwa Tanganyika,
Hakuna kuvunja nchi,Zenj kuwa part ya muungano,is our identity,image of power,ni sawa kuimabia Scotland,au wales,ijitoe ndani ya UK,au USA,iviache visiwa vya hawaii!imposible in millions years,for better for worse,your staying in the union!hatoki mtu hapa,Mtanganyika akilalamika kwamba zenj inatunyonya,tunamtwanga!mzenj akilalamika kwamba Bara,inazuia maendeleo yetu,tunampoteza!
Hili sio swala la demokrasia,na siasa nyepesi!unakumbuka Crimea ilivyomegwa kutoka Georgia na Urusi!acha mchezo,piga urojo wako,njoo bara nunua ardhi,oa mchags,mhehe,mhaya,piga maisha,lakini Zenj haitoki period!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia 11 ya nini? Na kwa nini mpewe asilimia 11 ya chochote wakati uwiano wa idadi ya watu kati ya Zanzibar na Bara ni mdogo mno chini ya asilimia 3?
Kwani nchi huwa inaitwa nchi kutokana na uwiyano wa watu?

Kwani Zanzibar na Tanganyika zimeungana kutokana na uwiyano wa watu..?

Jaribu kutafakari na kutumia ubongo wako kidogo,huu muungano ni mazonge uvunjwe na kuundwa tena upya
 
Hujui hata unaandika nini, kua tu mpole Muungana bado upo sana kuna mikataba mingi ya siri usiyoijua kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwahivyo hizo wishes zako ni kama machozi ya samaki tu.
Mwambieni John kuwa Zanzibar haina faida kwa Tanganyika, kila kitu inategemea JMT kwaiyo aifanye Mkoa, Wilaya ya Unguja na Wilaya ya Pemba, Mkoa utaitwa Mkoa wa Zanzibar. Wazanzibari watafurahi sana maana wale vibaraka wenu mlio wapa vyeo vya Urais, uwaziri na uwakilishi na wengine mkawaita wakuu wa mikoa na wilaya ndio watajifahamu kuwa wao ni Mabalozi wa Serikali ya kitanganyika na tayari wamepokonywa vyeo vyao kwa sababu ya kuimarisha mamlaka ya Tanganyika katika Zanzibar.

Mwambieni asichelewe maana Wazanzibari hawapendi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, karibia 90% ya watendaji wa SMZ hawapendezwi na hali inavyokwenda, kwaiyo ikifutwa SMZ na vile vibosi vyote vinavyotumika kama viroboti kudumisha maslahi ya Tanganyika kupitia CCM navyo vitafahamu nafasi zao.

Mwambieni Atangaze na kukataa Muungano WAZANZJBARI WAFE NJAAA, maana hawana hata kilimo cha rangi ya chai na watakosa kula mbatata na nyanya.

Mwambieni auvunje SMZ ina itia hasara sana SMT. na aanza kwa kuzima umeme kwanza maana sababubanayo.
ZIMENI UMEME WAZANZIBARI WAFE GIZA

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki hakiwezekani,
Hii ni nchi moja,uwezi kuwapa raia,eti wapige kura kuvunja nchi,
Kama ilivyo hongkong/Taiwan kwa China,ndio zenj ilivyo kwa Tanganyika,
Hakuna kuvunja nchi,Zenj kuwa part ya muungano,is our identity,image of power,ni sawa kuimabia Scotland,au wales,ijitoe ndani ya UK,au USA,iviache visiwa vya hawaii!imposible in millions years,for better for worse,your staying in the union!hatoki mtu hapa,Mtanganyika akilalamika kwamba zenj inatunyonya,tunamtwanga!mzenj akilalamika kwamba Bara,inazuia maendeleo yetu,tunampoteza!
Hili sio swala la demokrasia,na siasa nyepesi!unakumbuka Crimea ilivyomegwa kutoka Georgia na Urusi!acha mchezo,piga urojo wako,njoo bara nunua ardhi,oa mchags,mhehe,mhaya,piga maisha,lakini Zenj haitoki period!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hili linawezekana kwa kuwa Zanzibar hakuna umoja tu. Kinyume na hivyo inawezekana mchana kweupe, katiba ya Zanzibar inaruhusu kupigwa kura ya kitaifa ya kuamua jambo lolote lile kubwa lihusulu Zanzibar. Siku ikitokea wanzanzibar wakawa kitu moja inatangazwa kura ya maoni ya kuamua hatma ya Muungano. Hilo limekuwa gumu kutokana na "divide and rule strategy" wanayoitumia CCM na Serikali ya Muungano kwa Wazanzibar.
 
GHIBUU, post: 34662729, member: 35165"]
Unataka kujua mahesabu ya serikali ya muungano? Unasema Zanzibar haichangii, sasa nikuulize Tanganyika inachangia wapi? Ninayo iyona mie ni serikali ya muungano na kuna serikali ya Zanzibar.
Ndani ya serikali ya muungano Zanzibar inachangia nini, hilo ndilo swali la kujibu kwanza.
Halafu ipo sheria ambayo imetoa mamlaka serikali ya muungano kufungua account ya pamoja ili mapato yote ya muungano yaingie huko. Leo ni zaidi ya mwaka wa kumi hakuna account.
Huwezi kulipa ueme kwenye hiyo account utaweka mawe! Usichokijua bajeti ya SMZ ina ruzuku kutoka muungano, licha ya kwamba Zanzibar haina tone la mchango.
Tatu, katika bank kuu ya Tanzania,bot, Zanzibar inatakiwa ipatiwe asilimia 11 , hivi serikali ya muungano inaipa Zanzibar 4.5 , suali, kwa kipindi gani Zanzibar haijapokea hio fedha?
Kila mwezi wanapewa.
 
Hili koloni letu la Zanzibar limeendekezwa sana. Muda wa kuifuta serikali inayojiita ya mapinduzi umepita.

Tumewalea malezi ya kijinga mpaka wamekuwa kama toto la mama. Kila siku kuloloma, kulialia na kulalamika.

Watanganyika ifike wakati tuifute SMZ for good.
Ni wazi kuwa wanajiona kama nchi na ndicho kinawapa KIBRI NA KUSHUPAZA SHINGO hawa wajinga wajinga.

Mapendekezo ni kuifanya Zanzibar kuwa mikoa miwili. Mkoa wa Unguja na mkoa wa Pemba. Hii itawakata kilimilimi na kibri chote.
Unapaswa kutambua haya....

Zanzibar ilikuwa nchi kamili kabla ya uhuru wa Tanganyika, na hata sasa bado ni nchi kamili japokuwa iko chini ya ukoloni wa kitanganyika ndani ya kivuli cha muungano. Huwezi kuwanyang'anya wazanzibar nchi yao kwa sababu yoyote.

Muungano wa Tanzania ni muungano kati ya nchi (Zanzibar) na nchi (Tanganyika), tena muungano wa hiari. Hakuna nchi iliyokuwa juu ya mwenzake. Na haipaswi kuwepo nchi inayotaka kuwa juu ya mwenzake.

Watanganyika kama mmewachoka wazanzibar kwenye muungano dawa ni kuuvunja muungano na kutuacha wazanzibar tubakie sisi wenyewe na nyie mbakie wenyewe. Sio lazima tuwe na muungano. Kwanini Tanganyika ina wang'ang'ania wazanzibar kwa nguvu na gharama zote wabakie kwenye muungano wakati Zanzibar ni mzigo kwenye muungano?

Wazanzibar tulishasema na hapa ninasema tena, Muungano huu hatuutaki, hatuutaki na hatuutaki. Ni koti tulilolichoka, limechakaa, lina miiba, linanuka vibaya na linatubana. Na nyinyi watanganyika mseme sasa kama hamuutaki huu muungano.
 
Shirika la umeme la Zanzibar limekiri kudaiwa na shirika la umeme TANESCO deni la shilingi bilioni kumi lakini limesema halitalipa bali deni hilo litalipwa na Serikali ya muungano.

Limesema Serikali ya muungano inadaiwa na Serikali ya Zanzibar kwa hiyo watakatana hukohuko.

Kwanza haijulikani ni deni gani ambalo Serikali ya muungano inadaiwa na Zanzibar.

Pili kwa muda mrefu inasemekana Zanzibar imekuwa haichangii gharama za kuendesha Serikali ya muuungano.

Tatu kama kweli Serikali ya muungano inadaiwa na Zanzibar ni vema ikaweka hadharani deni hilo.

Watanzania bara tumekuwa tukipandishiwa umeme huku upande wa pili hawalipi hapo ndio utaona umuhimu wa serikali tatu.

Chanzo: Habari ya ITV
Deni lilipofikia bilion 60 Rais Magufuli aliwasamehe sehemu.
Malalamiko yao yalikuwa tofauti ya bei kati ya sehemu mbili bila kujali gharama za kuuvusha.
Rais Magufuli akasema kama ni hilo wafutiwe. Sasa wanakuja na jingine la kukatana huko huko.

Huo si utaratibu wa serikali, kwamba shirika la umeme Zanzibar linapanga jinsi ya malipo kati ya serikali mbili.
Huu ni ukosefu wa elimu na maarifa. SMZ ndiyo ingezungumza na JMT kuhusu malipo baada ya kuwasikia hao ZECO

Wazanzibar wana hiari nyingi sana.
Kwanza, wanaweza kung'oa nyaya za umeme wakatumia wa meli kama wanavyoaminishwa. Hilo halitawagusa Wabara.

Kuwabebesha mzigo Wabara kutoka deni la Wazanzibar ni uhuni usio na mfano.
Yaani raia wa Mburahati anabeba mzigo wa SMZ! Raia analipa umeme wa Luku na hapo hapo kuwalipia Wazanzibar

Hoja zako tatu hapo juu ni mujarabu, labda wazanzibar watusaidie kujibu.
 
Zanzibar imeshasema wazi kuwa hilo deni la umeme hawatalipa hata senti tano.
Sasa TANESCO kama ni wanaume wazime huo umeme na sio kubwabwaja tu. Meko alishawapa go ahead TANESCO kuzima umeme kwa taasisi yoyote ya umma inayodaiwa na TANESCO.

Tunataka vitendo sio maneno.
 
Zanzibar tulishaioa mwaka 1964

Ni wake zetu tu, hawana ujanja

Tutatatua matatizo lakini hatutoi talaka asilani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi kila mwisho wa wiki mnakuja Zanzibar kuwafata mabasha wenu tunawajua mnawekwa Mahotelini wanaume wazima mnaondoka boti za jumapili saa kumi ww nina shaka ni miongoni mwa hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kuifanya mkoa hamusubutu hata muungane na babu zenu sisi hatutaki hasa kuungana na nyinyi lkn nyinyi munasema mutaulinda mungano huu mpaka tone la mwisho la damu jiulize kuna nini mpaka mukaiparatia Zanzibar vote hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuulinda muungano mpaka LUKUVI keshamuizesha mwanawe Mpemba!
 
Tunawadai pesa za misaada toka nje 4.5 ya misaada yote ilikua ije ZANZIBAR nyinyi wezi mumetuibia na kuipeleka NGARA, UKEREWE, CHATO, NDANDA N.K
Miradi nayogharamiwa na JMT je.
Pili, hao Zanzibar wanadai misaada, hizi nifikra za kijinga sana. Hiyo misaada wanapewa sehemu yake.
Kwa mfano, bajeti ya SMZ inapata ruzuku ya JMT.
Pili, Wazanzibar hawajui malipo ya deni la taifa hata siku moja, na hutawasikia wakiongelea kulipa madeni utawasikia misaada
Tatu, gharama za JMT zinabebwa na Watanganyika hadi kuwalipia wabunge wao na mengine yasiyosemwa kwa stara
Nne, misaada gani mbona hamhoji watoto wenu kupewa ''mikopo'' ya elimu ya juu bure tena wengi kuliko wa SMZ?
Tano, mnachangia kiasi gani bajeti ya JMT?
Sita, hamna bajeti ya ulinzi, mambo ya ndani, nje n.k. Hiyo bajeti ya jeshi tiu hamuwezi hata kwa wiki 3
Saba, kila mwezi mnapata mgao wa benki kuu ambao kimsingi ni mapato ya Tanganyika.

Ngo'eni nyaya za umeme, tafuteni umeme wa upepo au meli.

Hizi habari za kuwabebesha raia wa Buguruni zigo la SMZ zifike mwisho.

Raia wa Mbagala analipa LUKU , SMZ haitaki kwasababu haitaki tu. Hii ni fedheha wala si aibu.

Raia wa Bunju anajua wajibu wake kwa familia yake kwa kulipa umeme, halafu anabebeshwa zigo la Zanzibar! Shame on you. Haya si mambo ya kuzungumzia Wazanzibar, yanawaacha ..ashakumu

Msisumbuke kutoa taarifa, acheni kununua umeme wa Tanesco, ugomvi hakuna
 
Wangekuwa hawauhitaji,wasingekuwa wanakimbizana Dodoma,kununua viwanja na kuanzisha makazi,
Kuna sehemu inaitwa Oroa,Pongwe,mahoteli yote ya kitalii,yanapata mahitaji yao,ya vyakula kutok a bara

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipodozi Kariakoo vinatoka SA, kwani lazima uungane na nchi kununuwa bidhaa. Ukraine anapigana vita na Russia lakini bado ananunua gesi kutoka Russia na alipotaka kuzidishiwa bei akagomea ongezeko.
 
Back
Top Bottom