Shirika la umeme Zanzibar lagoma kuilipa TANESCO

Shirika la umeme Zanzibar lagoma kuilipa TANESCO

We have said it na Sisi tutasimamia tulilosema, period!!!
Hakuna shida, isipokuwa jambo moja, siku hizi watu wanawapa ukweli. Zile zama za kutishia kuvunja muungano zimepita. Siku watu wanasema, mkiona vipi fungeni virago acheni taasisi za bara endeleeni kwa wakati wenu.

Madai ya Wazanzibar hayana maana ni ya kupuuzwa. Hawana pesa ya bill, period. Kila siku mnasamehewa hamkawii kuja na visababu vya kipuuzi. Mbona hamdai kuwalipia Wabunge wenu wanaokuja Dodoma. Unajua bajeti inayotumika kuwahudumia. Mbona hamuelezi mnachangia nini katika muungano. Unajua bajeti ya Zanzibar

Unataka kufunga account ya pamoja wakati huwezi kulipa umeme. Hiyo account utaweka nini ikiwa Wazanzibar wanategemea raia wa Mbagala awalipie bill ya umeme. Hii ni fedheha! ni aibu na sijui viongozi wenu kwanini hawaioni.

Tunachowaeleza ni kuwa inatia maudhi kupe kudai haki katika mgongo wa ng'ombe.
 
Mkuu Gibuu, aliyekuambia hayo kuwa ndani ya BOT yetu kuna 11% ya Zanzibar. Hakuna kitu kama hicho, BOT ni 100% owned by serikali ya JMT.

Nimewafanyia Documentary ya miaka 50 ya BOT, niliulizia nikathibishiwa hakuna kitu kama hicho, wakati EA Currency Board inavunjwa mwaka 1966, imeikuta tayari Tanzania ni nchi moja ya JMT, kulikuwa hakuna nchi ya Zanzibar, hivyo tangu tulipoungana ile 1964 tukawa nchi moja, ndani ya EA Currency Board hakukuwa tena na Zanzibar kama ambavyo Zanzibar ilipoteza kiti chake UN baada ya kutokuwa nchi, hivyo ndani ya EACB kulikuwa na nchi moja tuu ya JMT, na zile shares zote za iliyokuwa Tanganyika na Zanzibar zilihamishiwa kwa JMT.

Benki Kuu ya Tanzania ni mali ya JMT, hakuna shares zozote za Tanganyika wala za Zanzibar, zipo shares za JMT only.

P

Unaongea kwa povu kubwa sana, siwezi kukuelimisha kwa sababu umejawa na maji ya kijani kichwani [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walaa muungano haushikiliwi na umeme. Wazanzibar wakiondoka na kurejea kwao muungano umefikia mwisho.

Hakuna Mtanganyika atakayeathirika. Nusu ya Wazanzibar inaishi bara na ndilo eneo lililobeba wazanzibar wengi duniani.

Ni kuamua tu, pandeni boti, katazeni wabunge wenu wasije Dodoma, mwiteni VP arudi nyumbani.

Hakuna Mtanganyika atakayeshtuka znz kuondoka. Hawa wasioweza kulipa bilioni 10 wakiwa na SMZ! Teh teh , no way.
Kama ungejuwa wapo watanganyika wengi tu watakao athirika wala usingeaandika hayo achana na malaya kule mahotelini na wamachinga wa sumu za panya wapo wengi tu watakao umia, ila kwangu mimi umoja ni muhimu wenye faida kwa pande zote kuliko utengano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes nao Watarudi tena wanatosha boti moja. Kazi ipo kwa Wazanzibar maana nusu wamekimbia wapo bara na ndilo eneo pekee duniani lenye Wznz wengi.

Ondokeni tu kwa amani, wale watanganyika nao tutawaambia warudi nyumbani .
Boti moja haitoshi hiyo wanaijaza watumishi wa makanisa tu na pia haiwatoshi kwa jinsi walivyojaa kule z'bar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna shida, isipokuwa jambo moja, siku hizi watu wanawapa ukweli. Zile zama za kutishia kuvunja muungano zimepita. Siku watu wanasema, mkiona vipi fungeni virago acheni taasisi za bara endeleeni kwa wakati wenu.

Madai ya Wazanzibar hayana maana ni ya kupuuzwa. Hawana pesa ya bill, period. Kila siku mnasamehewa hamkawii kuja na visababu vya kipuuzi. Mbona hamdai kuwalipia Wabunge wenu wanaokuja Dodoma. Unajua bajeti inayotumika kuwahudumia. Mbona hamuelezi mnachangia nini katika muungano. Unajua bajeti ya Zanzibar

Unataka kufunga account ya pamoja wakati huwezi kulipa umeme. Hiyo account utaweka nini ikiwa Wazanzibar wanategemea raia wa Mbagala awalipie bill ya umeme. Hii ni fedheha! ni aibu na sijui viongozi wenu kwanini hawaioni.

Tunachowaeleza ni kuwa inatia maudhi kupe kudai haki katika mgongo wa ng'ombe.
Nyinyi wabunge wenu wa Tanganyika mnawalipia kwenye bunge la Muungano how?
 
Nyinyi wabunge wenu wa Tanganyika mnawalipia kwenye bunge la Muungano how?
Ndiyo ! kupitia hazina. Zanzibar haina hata senti tano katika mchango wa muungano. Ni kubembea mgongoni.

Kama sivyo kwanini wasilipiwe na SMZ!

Siyo Wabunge tu, High education wanalipiwa wanafunzi 1200 bure! hawana mkopo na hizo ni pesa za wakulima na wafanyakazi wa Tanganyika. Idadi hiyo ni kubwa kuliko wanafunzi wanaodhaminiwa na SMZ. Fikiri hilo.

Malipo ya SMZ na BLW pamoja na Raia wake ni mzigo wa Tanesco anaoulipia mkulima wa Mkuranga na Tunduru.

Hapana, ifike mahali mkisema mna SMZ basi iwe inawajibika, siyo 'chui wa karatasi''.

Zanzibar iwe mshirika wa muungano siyo kuwabebesha walipa kodi wengine zigo.
 
Aisee ww mbona unachanganya madawa. Unazungumzia Elimu ya juu hile ni katika mambo ya Muungano na Bunge pia. Tambua kuwa kila Wazanzibar wana haki sawa kama walionayo Watanganyika katika kila jambo la Muungano. Vyanzo vya mapato vipo wazi tax, loan and grant. Sote tunalipa kodi sio nyinyi tu Watanganyika, hivyo wizara yoyote iiiopo chini ya Muungano sisi Wazanzibar tunachangia pia kwa kulipa kodi na kama mkipata grant au loan na sisi tunahusika maana itakuwa mumekopa au kufadhiliwa kwa wa Tanzania. Mishahara wanayolipwa wabunge kutoka Zanzibar, majeshi na wizara nyengine zote ni haki yao ya kikatiba na wala si ihsani. Ikiwa unajidai mnalipa nyinyi kwa sababu tu ya wingi wenu hizo ni fkra potofu kwa sababu sisi tunalipia kodi kidogo lakini pia tunatumia kidogo pia, majeshi na wabunge wa Tanganyika ni wengi so wanatumia kodi yetu nyingi sana labda kutokana na kuwa mumechangia nyingi pia. Achilia mbali Wazanzibar hata nyinyi Watanganyika hamsomeshwi bure sote tunakopeshwa na tunalipa mikopo hiyo. Sijui ni wewe na familia yako ndo mnawasomesha Wazanzibar bure maana sijawahi sikia hiki kitu ndo nasikia kwako. Usisahau kodi anayolipa Bakhresa mzanzibar mmoja tu kwa mwezi ni sawa na kodi wanayolipa watanganyika milioni 20 kwa mwezi.
 
"vposterior, post: 34681022, member: 495558"]
Aisee ww mbona unachanganya madawa. Unazungumzia Elimu ya juu hile ni katika mambo ya Muungano na Bunge pia.
Kuna HESLB na ZESLB. Nani alikwambia High Education ni jambo la muungano. Hilo liliingizwa tu kuwasaidia Wazaznibar. Unakumbuka Mh Sitta RIP alisema nini!

Tambua kuwa kila Wazanzibar wana haki sawa kama walionayo Watanganyika katika kila jambo la Muungano.
Haki si kuchukua ni pamoja na kuchangia. Wazanzibar hawachangii hata senti tano kwa muhjibu wa BoT kwa takribani miaka zaidi ya 30. Hakuna mchango wowote wa Zanzibar! Period.
Vyanzo vya mapato vipo wazi tax, loan and grant. Sote tunalipa kodi sio nyinyi tu Watanganyika,
Hakuna kodi ya Zanzibar inayovuka bahari. Hakuna senti tano inyoingia hazina Dar, lakini mamilioni yanakwenda kusaidia mishahara na bajeti. Mamilioni ya kodi za Tanganyika .

hivyo wizara yoyote iiiopo chini ya Muungano sisi Wazanzibar tunachangia pia kwa kulipa kodi na kama mkipata grant au loan na sisi tunahusika maana itakuwa mumekopa au kufadhiliwa kwa wa Tanzania.
Hakuna mchango wa Zanzibar na hivyo hakuna wizara inayochangiwa na Zanzibar. Huna kitu unachiangia maneno au urojo!

Wanafunzi wa Tanganyika wanapewa mkopo halafu wanakatwa kurudisha mkopo. Wanafunzi wa Zanzibar wanapewa mkopo wasiorudisha ambao ni Bure kutoka kodi za Watanganyika. Kwamba mtoto wa Tanganyika ambaye baba yake analipa kodi analazimishwa kurudishwa, yule wa Zanzibar ambaye baba yake haipi kodi na analipiwa umeme anapewa bure! Insane
Mishahara wanayolipwa wabunge kutoka Zanzibar, majeshi na wizara nyengine zote ni haki yao ya kikatiba na wala si ihsani.
Haki inaambatana na wajibu, huchangii unadai haki gani. Hakuna mchango wa Zanzibar.
Haki ya kikatiba ni maandishi, ukweli ni kuwa hawana mchango wowote katika muungano zaidi ya maneno na madai.
Ikiwa unajidai mnalipa nyinyi kwa sababu tu ya wingi wenu hizo ni fkra potofu kwa sababu sisi tunalipia kodi kidogo lakini pia tunatumia kidogo pia, majeshi na wabunge wa Tanganyika ni wengi so wanatumia kodi yetu nyingi sana labda kutokana na kuwa mumechangia nyingi pia.
Nani anakudanganya wewe! Huna mchango katika muungano.
Bajeti ya Zanzibar inapata ruzuku kutoka kodi za Watanganyika, halafu unasema kuna mchango.
Kodi hazivuki bahari halafu unasema kuna mchango. Twambieni wapi mumechangia ikiwa umeme hamuwezi kulipa.
Umeme tu kwenu ni shida mnaweza kuchangia wizara ya ulinzi hata kwa wiki 3!
Achilia mbali Wazanzibar hata nyinyi Watanganyika hamsomeshwi bure sote tunakopeshwa na tunalipa mikopo hiyo. Sijui ni wewe na familia yako ndo mnawasomesha Wazanzibar bure maana sijawahi sikia hiki kitu ndo nasikia kwako. Usisahau kodi anayolipa Bakhresa mzanzibar mmoja tu kwa mwezi ni sawa na kodi wanayolipa watanganyika milioni 20 kwa mwezi.
Mnalipa mikopo ya ZEHSL siyo ya HESLB. Mnasomeshwa bure halafu mkirudi Zanzibar kama inatokea, unatumia umeme bure! Kazi unapata kwasababu ya uzanzibar si qualification.

Hivi kupe anadai vipi haki juu ya mgongo wa ng'ombe!
 
Hili koloni letu la Zanzibar limeendekezwa sana. Muda wa kuifuta serikali inayojiita ya mapinduzi umepita.

Tumewalea malezi ya kijinga mpaka wamekuwa kama toto la mama. Kila siku kuloloma, kulialia na kulalamika.

Watanganyika ifike wakati tuifute SMZ for good.
Ni wazi kuwa wanajiona kama nchi na ndicho kinawapa KIBRI NA KUSHUPAZA SHINGO hawa wajinga wajinga.

Mapendekezo ni kuifanya Zanzibar kuwa mikoa miwili. Mkoa wa Unguja na mkoa wa Pemba. Hii itawakata kilimilimi na kibri chote.
Wacha upumbavu wewe, jaribu kubalance shobo! Kwanini ung'ang'anie Zanzibar kuwa mkoa? Wakati kiuhalisia na kihistoria haipo hivyo au ndio mabavu?

JARIBU KUBALANCE SHOBO!
 
Hakuna shida, isipokuwa jambo moja, siku hizi watu wanawapa ukweli. Zile zama za kutishia kuvunja muungano zimepita. Siku watu wanasema, mkiona vipi fungeni virago acheni taasisi za bara endeleeni kwa wakati wenu.

Madai ya Wazanzibar hayana maana ni ya kupuuzwa. Hawana pesa ya bill, period. Kila siku mnasamehewa hamkawii kuja na visababu vya kipuuzi. Mbona hamdai kuwalipia Wabunge wenu wanaokuja Dodoma. Unajua bajeti inayotumika kuwahudumia. Mbona hamuelezi mnachangia nini katika muungano. Unajua bajeti ya Zanzibar

Unataka kufunga account ya pamoja wakati huwezi kulipa umeme. Hiyo account utaweka nini ikiwa Wazanzibar wanategemea raia wa Mbagala awalipie bill ya umeme. Hii ni fedheha! ni aibu na sijui viongozi wenu kwanini hawaioni.

Tunachowaeleza ni kuwa inatia maudhi kupe kudai haki katika mgongo wa ng'ombe.
Wacha upopoma wewe kila ukiambiwa kizondo ndio unaona sifa si ndio? Kama hujui wacha jikwambie basi

Zanzibar kuna bodi yake ya mapato ZRB lakini still TRA wanakaba kukusanya kodi kila pande

Sasa anza na kuiambia TRA ikusanye kodi uko mbagala tu huku isije

Halafu kitu cha ajabu nikwamba kwanini uendelee kuing'ang'ania znz wakati haina faida kwako? Hivi kweli kitu hakina faida kwako na kinakuingizia hasara unaweza king'ang'ania kiasi hicho? Wacha kijitia upofu weweee

Kama umeona unapewa mzigo ni simple tu just cut-off
 
Kodi za TRA hazivuki bahari, zinabaki huko huko.
Hakuna anaye ng'ang'ania, tunasema hivi mkiona vipi fungeni virago ondokeni. Ninyi laki 6 mnaoishi bara ndio manaong'ang'ania. Niambie nusu ya nchi inaishi bara sasa nani king'ang'anizi hapo
 
Kuna HESLB na ZESLB. Nani alikwambia High Education ni jambo la muungano. Hilo liliingizwa tu kuwasaidia Wazaznibar. Unakumbuka Mh Sitta RIP alisema nini!

Haki si kuchukua ni pamoja na kuchangia. Wazanzibar hawachangii hata senti tano kwa muhjibu wa BoT kwa takribani miaka zaidi ya 30. Hakuna mchango wowote wa Zanzibar! Period. Hakuna kodi ya Zanzibar inayovuka bahari. Hakuna senti tano inyoingia hazina Dar, lakini mamilioni yanakwenda kusaidia mishahara na bajeti. Mamilioni ya kodi za Tanganyika .

Hakuna mchango wa Zanzibar na hivyo hakuna wizara inayochangiwa na Zanzibar. Huna kitu unachiangia maneno au urojo!

Wanafunzi wa Tanganyika wanapewa mkopo halafu wanakatwa kurudisha mkopo. Wanafunzi wa Zanzibar wanapewa mkopo wasiorudisha ambao ni Bure kutoka kodi za Watanganyika. Kwamba mtoto wa Tanganyika ambaye baba yake analipa kodi analazimishwa kurudishwa, yule wa Zanzibar ambaye baba yake haipi kodi na analipiwa umeme anapewa bure! Insane
Haki inaambatana na wajibu, huchangii unadai haki gani. Hakuna mchango wa Zanzibar.
Haki ya kikatiba ni maandishi, ukweli ni kuwa hawana mchango wowote katika muungano zaidi ya maneno na madai.
Nani anakudanganya wewe! Huna mchango katika muungano.
Bajeti ya Zanzibar inapata ruzuku kutoka kodi za Watanganyika, halafu unasema kuna mchango.
Kodi hazivuki bahari halafu unasema kuna mchango. Twambieni wapi mumechangia ikiwa umeme hamuwezi kulipa.
Umeme tu kwenu ni shida mnaweza kuchangia wizara ya ulinzi hata kwa wiki 3! Mnalipa mikopo ya ZEHSL siyo ya HESLB. Mnasomeshwa bure halafu mkirudi Zanzibar kama inatokea, unatumia umeme bure! Kazi unapata kwasababu ya uzanzibar si qualification.

Hivi kupe anadai vipi haki juu ya mgongo wa ng'ombe!

DAh Unaumia sana na Zanzibar, Pole sana
 
H
ngusillo, Kitu kuifanya mkoa hamusubutu hata muungane na babu zenu sisi hatutaki hasa kuungana na nyinyi lkn nyinyi munasema mutaulinda mungano huu mpaka tone la mwisho la damu jiulize kuna nini mpaka mukaiparatia Zanzibar vote hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamtaki kuungana na babu zako,huko visiwani wote ni wahamiaji ama umetoka bara au Comoro au Oman au Malawi au Iran. Hakuna mwenye kisiwa cha Zanzibar wote wahamiaji tu
 
DAh Unaumia sana na Zanzibar, Pole sana
Ahsante, ninaumia sana na walipa kodi wa Tanganyika. Kwamba, mtu binafsi anajua wajibu wake katika umeme lakini SMZ haijui wajibu huo. Kila siku visingizio tu.
Walisema wanalipishwa bei kubwa kuliko bara, wakaondolewa. Sasa wanarukia yasiyohusiana na umeme
 
Ndani ya serikali ya muungano Zanzibar inachangia nini, hilo ndilo swali la kujibu kwanza.Huwezi kulipa ueme kwenye hiyo account utaweka mawe! Usichokijua bajeti ya SMZ ina ruzuku kutoka muungano, licha ya kwamba Zanzibar haina tone la mchango.
Kila mwezi wanapewa.

Acha kupotosha,

Serikai ya Muungano haichangii wala haijawahi kuchangia Bajeti ya Zanzibar kwani kwenye Katiba hakuna kitu kama hicho.

Na unaposema Zanzibar haichangii chochote kwenye Muungano basi unapotosha.

Serikali ya Muungano inakusanya Kodi Zanzibar kupitia TRA kama inavyokisanya Tanganyika. Au niambie kuwa kodi za Wazanzibar za kila siku TRA wanazipeleka wapi?
Hata ile Vocha ya Buku Zanzibar basi unakatwa Kodi sawa na Mtanganyika.
But hizo Kodi za Wazanzibari zinazokatwa na Muungano ndiyo zinatumika kujenga miradi ya Maendeleo Tanganyika na wala hazijawahi kujenga miradi ya maendeleo Zanzibar.

Kwahiyo usidanganye kuwa Zanzibar hawachangii chochote kwenye Muungano, Zanzibar wanachangia kwa kulipa kodi lakini hawafaidiki za Kodi hizo.

Na katiba inasema Jamhuri ya Muungano inapopokea Msaada wowote kutoka Nje basi Zanzibar itapata asilimia 4.5% ya msaada huo. But cha ajabu Tanganyika kwa miaka mingi sana imekataa kutoa asilimia hizo.
Na BOT imekataa kutoa mgao wa Wazanzibari huku ikisahau kuwa Wazanzibari nao ni Walipa kodi wa Muungano
 
"King Ngwaba, post: 34776896, member: 366055"]Serikai ya Muungano haichangii wala haijawahi kuchangia Bajeti ya Zanzibar kwani kwenye Katiba hakuna kitu kama hicho.
Kamuulize Waziri wa Fedha na BLW pamoja na SMZ.
Serikali ya Muungano inakusanya Kodi Zanzibar kupitia TRA kama inavyokisanya Tanganyika. Au niambie kuwa kodi za Wazanzibar za kila siku TRA wanazipeleka wapi?
Kodi za TRA hazivuki bahari.
Tuonyeshe mwaka jana kodi kiasi gani zililetwa hazina Dar kutoka Zanzibar
Kuna uthibitisho usio na shaka kodi za TRA Zanzibar zinabaki huko, hizi habari huwezi kuzijua kwasababu unasubiri kusimuliwa kama ulivyaoaminishwa TV ya rangi watu wakijisaidia baharini hadi leo.
Hata ile Vocha ya Buku Zanzibar basi unakatwa Kodi sawa na Mtanganyika.
Tena kwa hili usiseme.
Simu zinakatwa kodi kwa asilimia kutoka TCRA na kupelekwa Zanzibar.
Yaani ukipiga simu Lindi kuna sehemu inakwenda Zanzibar. Kwa Zanzibar yeyewe kodi za simu haziwezi kusaidia maana nusu wanaishi bara na kupiga simu kutoka bara kwasababu wana kipato kikubwa kuliko Zanzibar. Hivyo, Znz wanapewa tu kama msaada.
But hizo Kodi za Wazanzibari zinazokatwa na Muungano ndiyo zinatumika kujenga miradi ya Maendeleo Tanganyika na wala hazijawahi kujenga miradi ya maendeleo Zanzibar.
Fungua akili wewe, hakuna kodi ya mzanzibar inayokuja bara. Hivi nani anawafundisha huu ujinga. Nieleze kodi zinakatwa kutoka wapi.
Nenda kaangalie Bajeti ya Zanzibar kwanza, utajua unaongelea nini.
Kaangalie makusanyo ya Znz kwa mwezi halafu uangalie makusanyo ya TBL, Bandari au Kariakoo utaelewa unaongelea nini. Ni hivi uchumi wa Zanzibar wewe unadhani ni tembo ! masikini ungejua.
Kwahiyo usidanganye kuwa Zanzibar hawachangii chochote kwenye Muungano, Zanzibar wanachangia kwa kulipa kodi lakini hawafaidiki za Kodi hizo.
Mwaka jana wamelipa kiasi gani?
Na katiba inasema Jamhuri ya Muungano inapopokea Msaada wowote kutoka Nje basi Zanzibar itapata asilimia 4.5% ya msaada huo. But cha ajabu Tanganyika kwa miaka mingi sana imekataa kutoa asilimia hizo.
Na BOT imekataa kutoa mgao wa Wazanzibari huku ikisahau kuwa Wazanzibari nao ni Walipa kodi wa Muungano
Onyesha sehemu ya katiba .

Hadi hapa nimetambua naongea na mtu wa maskani aliyesimuliwa tu, hana ufahamu wa haya mambo.

Hili ni tatizo kwa znz , kwamba, watu wanaishi kwa hadithi na si ukweli. Ukiwaambia ZNZ ndiyo inaendesha muungano wataamini tu na kesho wote wataandika kila mahali. Hakuna anayejIshugulisha kutafuta ukweli.

Pascal Mayalla JokaKuu
 
Kama ungejuwa wapo watanganyika wengi tu watakao athirika wala usingeaandika hayo achana na malaya kule mahotelini na wamachinga wa sumu za panya wapo wengi tu watakao umia, ila kwangu mimi umoja ni muhimu wenye faida kwa pande zote kuliko utengano.
Ni hivi hakuna mtanganyika atakyeathirika. Hao wa Hotelini ni wangapi? Wamachinga ni wangapi?
Leo hakuna muungano, 600,000 wakirudi Zanzibar ni kutafutana uchawi kila uchao, kwa nyewele, rangi, pua n.k.
Katika huu muungano hakuna ''faida za pande zote'' kuna faida kwa Zanzibar, ikiwa katika mbeleko.

Tunasikia account ya pamoja, itachangiwa nini, matumbawe na urojo. Kama huwezi kulipa umeme tutegemee nini.

Akili zipo katika misaada! ukiwauliza wizara ya ulinzi , mambo ya ndani , nje, muungano n,k. za SMZ hawana la kusema. Hata vijana wao wanasomeshwa bure! hawakumbuki hilo.
Wale wabunge wao wanaokuja Dodoma wanakuja kwa kodi za Mtanganyika ili kumtetea Mzanzibar
Hawaongelei deni hata siku moja.

Ajira za muungano unaolipiwa na Tanganyika ni 21% Wazanzibar tu wa jina na mishahara na kodi za Tanganyika.
Ni kodi kwasababu Zanzibar haina mchango na hakuna aliyethubutu kuonyesha mchango katika muungano.
BoT walisema takribani miaka 30 sasa hakuna ndululu inayotoka Zanzibar.

Acheni kudanganywa kwamba Zanzibar ni tajiri sana, hata zama za Sultan ilikuwa ni pembe , vipusa madini na Watumwa kutoka Tanganyika. Kwamba, walikuwa na TV ya rangi! aliyeangalia alikuwa Mwarabu.
Mmatumbia alikuwa bawaba na nyumba za nyasi maliwato baharini, leo naye anasema TV rangi.

Zanzibar ya bandari haipo tena! itakuwepo bandari ya matishari tu. Nani apeleke Nedloyd na kontena 6000 halafu ikashushe kontena 15 Zanzibar. Uchochoro wa Muungano siku hizi hakuna, ukileta mzigo kodi tu

Nendeni mkasome bajeti ya Zanzibar halafu mje mtuambie mnaibiwa wapi!
 
Nyie vibaraka wa uchochezi acheni tabia hii.

Duh, hii habari mbona mbaya sana, naona Zbz wameamua kujitoa na wamemjulia magufuli. Anavochukia upinzani na Zanzibar ilivyomshinda kuwanunua wapinzani, na hili likitokoea anaweza sema potelea mbali na waende zao na akafunga mipaka na mawasiliano nao.

Naona kujitenga kwa Zanzibar kunakaribia, tanzania inaweza kuja kugawanyika na kuwa nchi nne. 1. kilimanjaro/Arusha Manyara, 2. Tanga,Pwani,Dar,Mtwara,Lindi,songea ,Iringa ,mbeya na Morogoro. 3. Ddma,Tabora, Lake regions zote, Mbeya, Sumbawanga. 4. Zanzibar na Pemba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom