Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hujui hata kuandika kazi kuhara hara humuMwanasiasa yeyote makini awezi kukataa fursa ya kuwafikia wapiga majumbani kwao.
Hizo ni hasira za mkizi...........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui hata kuandika kazi kuhara hara humuMwanasiasa yeyote makini awezi kukataa fursa ya kuwafikia wapiga majumbani kwao.
Hizo ni hasira za mkizi...........
Watageuka wapambe hata Zambia ilikuwa hivyo hivyo baada ya Michael Chilufya Sata kushinda vyombo vya habari vyote vilivyokuwa against yeye kesho yake viligeuka na kuanza kumpamba na kuponda chama tawala.Nawaza kwa mbali,
Ivi ndio CHADEMA wametinga IKULU KIMASIHARA TBC itaendelea kufanya kazi kama miaka yote?
A typical CDM cadre postHujui hata kuandika kazi kuhara hara humu
Mazuzu Yale yanatufanyia kiini macho ili kujisafisha kuwa haipendelei chama kimoja. Subiri kesho uone shobo na bashasha zao kwenye mkutano Wa CCM!Mie mwenyewe nashangaa why hawajarushiwa mawe
tbc acha lawama , mnasema mnafuata maudhui ,ok sawa nakubali ila elewa nafikili hamkutakiwa kwenda maana kumbuka hiki ni kipindi cha kampeni watu watamwaga nyongo sana , sasa leo mlitia fora watu wakianza kumwaga nyongo mwajifanya kuweka uchambuzi , raha ya siasa ni wana siasa kumwaga nyongo ili mladi usiwe umbea au kumsingizia mtu , au kumtukana mtu, niwashauri achana na mikutano ya chadema basi ,mbona tangu mwanzo mlikua hamuonyeshi kipi leo kimewapelekaShirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.
TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma zilikuwa zinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye uzinduzi huo kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Hata hivyo, kwa mujibu wa mwongozo wa Tume wa mwaka 2020, (kifungu e na j), kanuni za maadili ya tasnia ya habari; vyombo vya utangazaji vya umma pia vinao wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayorushwa hewani yanazingatia maadili ya taaluma na ya jamii.
Kitendo cha uongozi wa CHADEMA kutangaza kuwafukuza watangazaji wa TBC si cha kiungwana na kinahatarisha usalama wa watendaji hao na vifaa vyao.
Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
Ndiyo wameimaliza kabisa tbc sasa ni sawa na joka la kibisaTatizo watendaji hawafuati inavyotakiwa bali wanafuata wanavyoagizwa na ngosha.
Asiwalaumu Chadema, watazamaji ndiyo tulitaka wafukuzwe kwani hatukuwa Tayari kuwasikiliza wao badala wahusika wa mkutano. Kuhusu maudhui wasijifanye wao ni watabiri, wanawezaje kujua kitakachosemwa, sheria inahusu kilichoandaliwa na si anachokitamka mtu ghafla na hakukua na neno lolote baya.Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.
TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma zilikuwa zinarusha matangazo ya moja kwa moja kwenye uzinduzi huo kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Hata hivyo, kwa mujibu wa mwongozo wa Tume wa mwaka 2020, (kifungu e na j), kanuni za maadili ya tasnia ya habari; vyombo vya utangazaji vya umma pia vinao wajibu wa kuhakikisha maudhui yanayorushwa hewani yanazingatia maadili ya taaluma na ya jamii.
Kitendo cha uongozi wa CHADEMA kutangaza kuwafukuza watangazaji wa TBC si cha kiungwana na kinahatarisha usalama wa watendaji hao na vifaa vyao.
Pamoja na kwamba TBC inapanga kutoa taarifa rasmi Polisi na kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwa sasa inasitisha rasmi kurusha matangazo ya CHADEMA hadi hapo watendaji wake watakapohakikishiwa usalama.
TBC inapenda kutimiza wajibu wake wa kisheria na imekuwa tayari, siku zote, kufanya kazi na vyama vyote vya siasa bila ubaguzi.
Labda kwa kutumia matusi; lakini hoja hakuna.
Kwa akili zako za kulishwa na chakubangaChadema walitegwa, wamenasa
Lazima mtaongea kikwenuLabda kwa kutumia matusi; lakini hoja hakuna.
Tangu lini wakawa chombo cha umma hawa?
Nimemsikiliza Mbowe akiwafukuza, kwa namna kuhamasisha umati sasa usishangae akiitwa polisi kutolea ufafanuzi lugha aliyotumia ambayo imetishia usalama wa wafanyakazi wa TBC.