Shirika linaweza kutoa gawio (dividends) hata kama limepata hasara

kutoa gawio sio mpaka uwe na profit acha kukariri
Jipige kifuani sema ww KILAZA. Gawio hutokana na Profit kwa wale profit oriented organization au surplus kwa kwale non. Gawio lolote hutokana na kiasi cha FAIDA iliyopatikana. Sasa ww gawio hilo unapataje bila kufunga vitabu vya mahesabu?
 
Wanaweza kutoa interim na baadae final dividend. Interim sawa ila final hapana. Inerim inatolewa kabla ya mahesabu kufungwa.
Final Dividend zinatolewa kwenye faida baada ya kodi. Sasa kama ni hasara utatoa wapi?
Huyu jamaa sijui anataka kutulisha matango ya wapi?
 
Meko kashakuwa mwendazake embu amkeni
 
Kama unakiri ni so risky basi ndio maana common sense inadictate kama shirika halijazalisha faida haliwezi kutoa faida, maana kukopa ili ukalipe deni sio busara kwani haikupi unafuu wowote
 
Wanaweza kutoa interim na baadae final dividend. Interim sawa ila final hapana. Inerim inatolewa kabla ya mahesabu kufungwa.
Final Dividend zinatolewa kwenye faida baada ya kodi. Sasa kama ni hasara utatoa wapi?
Hapo umeongea kitaalamu vizuri sana.
 
Off point, rejea mada hapo juu! 13/100 bad fail!
 
Kwahiyo kama ni Maduhuli.

Basi CAG alikuwa Sahihi maana yeye aliongelea Gawio( devidend).

So kubali wew ndio umekosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
ni maduhuli kwa kuwa wanazichukulia kama non profit making organizations ila in reality zinatengeneza faida so kuna kuwa na mkanganyiko ila maduhuli kwa kiingereza yanaitwaje?
 
Asante kwa uzi huu soma hapa

Ni maduhuli na sio dividends.
P
 
ni maduhuli kwa kuwa wanazichukulia kama non profit making organizations ila in reality zinatengeneza faida so kuna kuwa na mkanganyiko ila maduhuli kwa kiingereza yanaitwaje?
Achana na ishu nyingine.

CAG mstaafu Utoh alikuwa anaongelea Gawio.

We umekiri unaongelea Maduhuli.

Huoni hauko sahihi kumkosoa wakati mnaongea vitu tofauti.

NB.
Gawio linatolewa penye faida.

Maduhuli ni kodi hata kama hakuna faida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…