Shirika linaweza kutoa gawio (dividends) hata kama limepata hasara

Shirika linaweza kutoa gawio (dividends) hata kama limepata hasara

kutoa gawio sio mpaka uwe na profit acha kukariri
Jipige kifuani sema ww KILAZA. Gawio hutokana na Profit kwa wale profit oriented organization au surplus kwa kwale non. Gawio lolote hutokana na kiasi cha FAIDA iliyopatikana. Sasa ww gawio hilo unapataje bila kufunga vitabu vya mahesabu?
 
Wanaweza kutoa interim na baadae final dividend. Interim sawa ila final hapana. Inerim inatolewa kabla ya mahesabu kufungwa.
Final Dividend zinatolewa kwenye faida baada ya kodi. Sasa kama ni hasara utatoa wapi?
Huyu jamaa sijui anataka kutulisha matango ya wapi?
 
Kwema wanaJF,

Kumekuwa na watu wanasema ATCL ilipata hasara kwa hiyo haikupaswa kutoa gawio dhana ambayo sio kweli kwa kuwa gawio hutoka kwenye cash flow iliyopo kwenye shirika na sio mpaka pawe na faida kwenye financial statement.

Kama cash flow ipo gawio linatolewa vizuri tu. Tena hata kama shirika limepata hasara hukopa kulipa gawio japo hio njia ni so risk.

Nashangaa hata CAG Uttoh hajui gawio hupatikana vipi nabaki nasema hiiiiiiii
Meko kashakuwa mwendazake embu amkeni
 
Kama unakiri ni so risky basi ndio maana common sense inadictate kama shirika halijazalisha faida haliwezi kutoa faida, maana kukopa ili ukalipe deni sio busara kwani haikupi unafuu wowote
 
Wanaweza kutoa interim na baadae final dividend. Interim sawa ila final hapana. Inerim inatolewa kabla ya mahesabu kufungwa.
Final Dividend zinatolewa kwenye faida baada ya kodi. Sasa kama ni hasara utatoa wapi?
Hapo umeongea kitaalamu vizuri sana.
 
Kampuni au taasisi ambayo inauza hisa zake kwenye soko la hisa, inapaswa kutoa hesabu zake za mwaka kila mwaka. Katika hesabu hizi kampuni itaonesha mapato, matumizi, faida na hata hasara.

Iwapo kampuni imepata faida mwisho wa mwaka wa fedha, faida ile inapaswa kurudi kwa wanahisa wa kampuni hiyo.

Ile sehemu ya faida ya kampuni inayolipwa kwa wanahisa ndiyo inaitwa gawio. Hichi ni kipato ambacho mwekezaji anapata kutokana na uwekezaji ambao amefanya.

Kupata gawio, hakupunguzi chochote kwenye hisa za mwekezaji, badala yake anakuwa amepata faida, huku hisa zake zikiendelea kuwa kama zilivyokuwa. Hivyo hata kama atapokea gawio kila mwaka kwa miaka mitano, akija kuamua kuuza hisa zake atapata thamani ya zile hisa.
Off point, rejea mada hapo juu! 13/100 bad fail!
 
Kwahiyo kama ni Maduhuli.

Basi CAG alikuwa Sahihi maana yeye aliongelea Gawio( devidend).

So kubali wew ndio umekosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
ni maduhuli kwa kuwa wanazichukulia kama non profit making organizations ila in reality zinatengeneza faida so kuna kuwa na mkanganyiko ila maduhuli kwa kiingereza yanaitwaje?
 
Asante kwa uzi huu soma hapa

Ni maduhuli na sio dividends.
P
 
ni maduhuli kwa kuwa wanazichukulia kama non profit making organizations ila in reality zinatengeneza faida so kuna kuwa na mkanganyiko ila maduhuli kwa kiingereza yanaitwaje?
Achana na ishu nyingine.

CAG mstaafu Utoh alikuwa anaongelea Gawio.

We umekiri unaongelea Maduhuli.

Huoni hauko sahihi kumkosoa wakati mnaongea vitu tofauti.

NB.
Gawio linatolewa penye faida.

Maduhuli ni kodi hata kama hakuna faida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom