Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Awa caf wehu sana.team haina hata uwanja eti inaipiku utajiri zamaleki
Au wamehesabu utajiri wa Mo wakaufanya ndio wa mikia.
Mimi mwenyewe habari isiponifurahisha huwa naiwekea maneno mabaya kupotosha.Weye je?Hiyo taarifa ni kweli imetangazwa jana na msemaji wa CUF pale buguruni majira
Ni sahihi kuwa £10. 35 nimeweka hiyo kutokana na screen shot kutoka kwenye Chanzo kutoka Johannesburg.. Ndo maana nimeandika kwa ufasaha hapo kwenye thread mkuu.€10,32 hivi hiyo ndio milioni ????
Kwenye maelezo umesema utajiri wa simba ni Paundi(£) ila Kwenye namba naona kuna alama ya Euro (€) , hivi unaelewa umechoandika kweli ?
Kwa hiyo leo hautakula kwa sababu umepata taarifa mbaya?TP Mazembe kama haipo top 3 hyo list itakuwa imepikwa
mleta mada hujui kama kupika data fake ni kosa la jinai?
Klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwa klabu namba 5 kwa utajiri Barani Afrika.
Simba SC imetajwa kuwa na utajiri wa karibu Paund milioni 10.35 ambayo ni sawa na Bilioni 32.3 kwa shilingi ya Tanzania.
Katika orodha hiyo Al Ahly kutoka Misri inaongoza ikiwa na utajiri wa Paund milioni 19.25 ikifuatiwa na Esperance Sportive de Tunis 12.75M na Club Africain 11. 8M zote kutoka Tunisia.
Ya nne Kaizer Chiefs ya kutoka nchini Afrika Kusini ambayo yenyewe inatajiri karibu Paund milioni 10.48.
Klabu tajiri zaidi Barani Afrika View attachment 712984
Sasa,kama hao unaowapenda hawana hata hizo "charahani" iweje?Kwamba hata Tp mazembe tumewapita[emoji16] [emoji16] .
Labda kwa tafsiri ileee ya cherehani mbili TUU KIWANDA
Mkuu japo mimi shabiki wa Yanga lakini utajiri sio lazima cash tu.Hawa ndio waongo kabisa labda bongo hawaijui vizuri. Hakuna timu yoyote bongo ambayo ina akiba benki angalau milioni 10 tofauti na AZAM ambayo ni kampuni ya mfanyabiashara
Uwanja tunao BUNJU[emoji12]Awa caf wehu sana.team haina hata uwanja eti inaipiku utajiri zamaleki
Au wamehesabu utajiri wa Mo wakaufanya ndio wa mikia.