Shirikisho la Soka Afrika CAF yataja Klabu ya Simba SC nafasi ya 5 kwa utajiri Barani Afrika

Status
Not open for further replies.
Umekimbilia kipengele kimoja kingine umeacha.

Nimekuuliza. Kwa hiyo unataka kusema Simba ni tajiri kuliko tp mazembe? Jibu ni jepesi tu, ndio au hapana.ila wewe hujataka kujibu.

Mimi sio shabiki wa azam ila kwa mtazamo wangu naona azam ndio club tajiri.

Wana kiwanja chao kinachowaingizia Mapato.
Wanawadhamini wengi.
Wana miradi mingi.
Mmliki ni tajiri.
Mashabiki tu ndio wachache.
Lakini je,Unajua mmliki kawekeza kiasi gani pale? Au kwa kuwa hajitangazi. Pengine ni pungufu kidogo, au zaidi ya za mo? Hatujui.

Zaidi ya wingi wa mashabiki na pesa alizoweka mo.sasa hivi nini Simba au yanga wanazidi azam katika utajiri wa rasilimali na pesa?
 
Hawa ndio waongo kabisa labda bongo hawaijui vizuri. Hakuna timu yoyote bongo ambayo ina akiba benki angalau milioni 10 tofauti na AZAM ambayo ni kampuni ya mfanyabiashara
Tupe bank statement ya kila timu ili tukuamini.
 
Awa caf wehu sana.team haina hata uwanja eti inaipiku utajiri zamaleki

Au wamehesabu utajiri wa Mo wakaufanya ndio wa mikia.
Nawaona chura mnavyoruka ruka, punguzeni chuki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kama mpira haulipi waulize KABURU na MWENZAKE wanaohusishwa na kuchota dola laki tatu za SIMBA au uliza Timu inatoa hela wapi za kambi na vyakula.wanalala LODGE za bei ya chini 50,000 na wanakienda nje dola 200 kwa chumba na nauli si chini ya dola 500 na wanaenda wachezaji wote na viongozi bila shida.Timu zina hela ndio maana wanagombea madaraka
Kama ni kweli basi Africa hii hakuna mpira na mpira haulipi
 
Nawaona chura mnavyoruka ruka, punguzeni chuki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
TIMU INAONGOZWA NA AKILIMALI CAF HAIWAFAHAMU! WACHEZAJI HAWAJALIPWA MSHAHARA MPAKA MECHI YA SIMBA WAKIPATA KIINGILIO NDIO WALIPE MISHAHARA
 
Halafu hii alama(€) sio paundi ni yuro.
 
Hao jamaa watakuumiza kichwa bure, hawana hata ofisi yenye fenicha wanajiita matajiri, mfano timu anayocheza Msuva ina uwanja wake,viwanja vitatu vya mazoezi, hostel na wadhamini kibao lkn hawa bi hindu fc wanakomaa wao ni matajiri.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu, ni wakuwaacha tu!
 
MBONA MR NICE ALIKUWA TAJIRI KULIKO WASANII WOTE LAKINI HKUWA NA NYUMBA NZURI NA DR SHIKA JE? KUPANGA NI KUCHAGUA!
 
Hivi we unataka ujibiwe ki namna gani? Mbona una kichwa kigumu namna hiyo.

Haya umeng'ang'ana na Ofisi tu, hiyo hapo chini ni nini?
 
AC Milan na Inter Milan zina utajiri mkubwa lakini hazina viwanja, hivyo kiwanja si kigezo kikubwa cha kupimia utajiri wa klabu. Kuna timu zingine ukiodoa mapato ya viingilio vyanzo vingine vya mapato havijulikani, hivyo kwa nje unaweza kujua timu ni tajiri kumbe choka mbaya.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…