Haaaaaaaahaaaaaaa we jamaa kichwa sana yaani simba amzidi tp mazembe?Awa caf wehu sana.team haina hata uwanja eti inaipiku utajiri zamaleki
Au wamehesabu utajiri wa Mo wakaufanya ndio wa mikia.
Haaaaaaahaaaaa mashabiki wa yanga tuna maneno ya shombo sana!Labda Caf ya Lipumba.
Uwanja au shamba?Uwanja tunao BUNJU[emoji12]
Kuwa makini hapa ni JF, the home of Great Thinkers!Hii ni ya tar 16/07/2017 sio ya sasa hivi.
CAF ya Buguruni mkuuMbona sioni kama hiyo list imetolewa na CAF?? Au CAF ya Handeni??
Mtoa mada kaingia mitini baada ya kugundua makosa yake.CAF ya Buguruni mkuu
Soma vizuri heading usikurupuke kucommentAwa caf wehu sana.team haina hata uwanja eti inaipiku utajiri zamaleki
Au wamehesabu utajiri wa Mo wakaufanya ndio wa mikia.
Uliza tajiri yao Moize Katumbi yuko wapiTp mazembe iko wapi
Hapa ndio umedhihirisha umbumbumbu wako jinga kabisa.kama mpira haulipi waulize KABURU na MWENZAKE wanaohusishwa na kuchota dola laki tatu za SIMBA au uliza Timu inatoa hela wapi za kambi na vyakula.wanalala LODGE za bei ya chini 50,000 na wanakienda nje dola 200 kwa chumba na nauli si chini ya dola 500 na wanaenda wachezaji wote na viongozi bila shida.Timu zina hela ndio maana wanagombea madaraka
Hivi ile rufaa yao ya Fifa iliishia wapi? Maana naziona dalili zote za Yanga kubeba tena ubingwa.Naona wakina Manara washaona Ubingwa wa Bara hawaupati wameamua sasa kuja na hili ili kuwapumbaza Mambumbumbu wao ili wapate kitu cha kujisifia msimu huu.
Sasa simba ina brand ganiUnajua maana ya Brand?
Unajua formula ya ku calculate brand ya kitu kujua value yake?
Unajua determinants za brand?
Tuanzie hapo kwanza wakati unatafuta penseli na Daktari la mistari mirefu na mifupi upate darsa